MKUU WA MKOA WA ARUSHA AFANYA ZIARA KWENYE KIJIJI CHA KILIMATINDE WILAYANI MONDULI


Mkuu wa Wilaya ya Monduli Francis Miti akisalimiana na wanakijiji cha Kilimatinde wilayani Monduli,alipofanya ziara katika kijiji hicho akiambatana na Mkuu wa Mkoa wa Arusha.
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Daudi Felix Ntibenda akihutubia wanakijiji cha Kilimatinde wilayani Monduli alipofanya ziara katika kijiji hicho.
Baadhi ya wanafunzi na wanakijiji wa Kilimatinde wakimsikiliza Mkuu wa Mkoa wa Arusha(Hayupo pichani)alipokuwa akiwahutubia wanakijiji hao.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni