Rais
wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiwa
katika foleni na wageni wake kwenda kuchukua chakula wakati wa kufuturu
katika futari ya pamoja ya viongozi mbalimbali wa dini aliyoandaa Ikulu
jijini Dar es salaam Jumanne Juni 14, 2016
Mwenyekiti
wa CCM mkoa wa Dar es salaam Ndg. Ramadhani Madabida akifuatiwa na
Mchungaji wa Kanisa la Maombezi (GRC) Lusekelo Anthony 'Mzee wa Upako'
na wagemi wengine wakipakua chakula katika futari ya pamoja ya viongozi
mbalimbali wa dini iliyoandaliwa na Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli
Ikulu jijini Dar es salaam Jumanne Juni 14, 2016
Rais
wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli
akiongea machache baada ya futari ya pamoja ya viongozi mbalimbali wa
dini aliyoandaa Ikulu jijini Dar es salaam Jumanne Juni 14, 2016
Mke
wa Rais Mama Janeth Magufuli akisaliminia na wageni waliohudhuria
futari ya pamoja ya viongozi mbalimbali wa dini iliyoandaliwa na Rais
Magufuli Ikulu jijini Dar es salaam Jumanne Juni 14, 2016
Rais
wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli
akipongezwa na kaimu Mufti Sheikh Hamid Masoud Jongo baada ya kuongea
machache katika futari ya pamoja ya viongozi mbalimbali wa dini
aliyoandaa Ikulu jijini Dar es salaam Jumanne Juni 14, 2016
Rais
wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli
akisalimiana na Kadhi Mkuu wa Tanzania Sheikh Abdallah Mnyasi katika
futari ya pamoja ya viongozi mbalimbali wa dini aliyoandaa Ikulu jijini
Dar es salaam Jumanne Juni 14, 2016
Rais
wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli
akisalimiana na wageni mbalimbali katika futari ya pamoja ya viongozi
mbalimbali wa dini aliyoandaa Ikulu jijini Dar es salaam Jumanne Juni
14, 2016
Rais
wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli
akisalimiana na Mama Shamim Khan katika futari ya pamoja ya viongozi
mbalimbali wa dini aliyoandaa Ikulu jijini Dar es salaam Jumanne Juni
14, 2016. Kushoto ni Mke wa rais Mama Janeth Magufuli akifuatiwa na Mke
wa Waziri Mkuu Mama Mary Majaliwa
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni