Waziri
wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mh. Ummy Mwalimu
amefungua mkutano wa Baraza la Mawaziri wa Afya wa nchi za Jumuiya ya
Afrika Mashariki wenye lengo la kujadili kuhusu maendeleo endelevu ya
kupunguza kiwango cha juu cha maambukizi ya magonjwa ya kuambukiza na
yasiyo ya kuambukiza unaofanyika jijini Arusha.
Katibu Mkuu,Wizara ya Afya Tanzania, Dkt.Mpoki Ulisubyisya akiwasilisha mada kwenye mkutano huo. (Picha zote na Wizara ya Afya).
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mh. Ummy Mwalimu (katikati) akiwa na Waziri wa Afya toka Uganda (kulia) wakifuatilia mada zinazowasilishwa Kwenye mkutano huo.
Mawaziri
wa Afya wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki wakiwa kwenye picha ya
pamoja mara baada ya ufunguzi wa mkutano wa pamoja wa majadiliano kuhusu
maendeleo endelevu ya kupunguza kiwango cha juu cha maambukizi ya
magonjwa ya kuambukiza na yasiyo ya kuambukiza unaofanyika jijini
Arusha.
Baadhi ya mawaziri wa baraza hilo wakiwa kwenye picha ya pamoja na mwenyeji wao.
Katibu Mkuu,Wizara ya Afya Tanzania, Dkt.Mpoki Ulisubyisya akiwasilisha mada kwenye mkutano huo. (Picha zote na Wizara ya Afya).
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mh. Ummy Mwalimu (katikati) akiwa na Waziri wa Afya toka Uganda (kulia) wakifuatilia mada zinazowasilishwa Kwenye mkutano huo.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni