Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili,
Alhaj Ali Hassan Mwinyi baada ya kuwasili kwenye ukumbi wa Diamond
Jubilee jijini Dar es salaam Juni 26, 2016 kuhitimisha Mashindano ya
Kuhifadhi Qur'an Tukufu ya kimataifa kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee
jijini Dar es slaam
Baadhi
ya Waislamu waliokudhuria katika hitimisho la Mashindano ya Kuhifadhi
Qur'an Tukufu ya Kimataifa wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
wakati alipohitimisha mashindano hayo kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee
jijini Dar es salaam Juni 26, 2016.
Baadhi ya
Waislamu waliokudhuria katika hitimisho la Mashindano ya Kuhifadhi

Sehemu
ya Waislamu waliokudhuria katika hitimisho la Mashindano ya Kuhifadhi
Qur'an Tukufu ya Kimataifa wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
wakati alipohitimisha mashindano hayo kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee
jijini Dar es salaam Juni 26, 2016.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mufti wa Tanzania, Sheikh
Abubakary Zubery bin Ally baada ya kuwasili kwenye ukumbi wa Diamond
Jubilee jijini Dar es salaam kuhitimisha Mashindano ya Kuhifadhi Qur'an
Tukufu ya Kimataifa Juni 26, 2016. Katikati ni Sheikh wa Mkoa wa Dar es
salaam, Alhadi Mussa Salum.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipohitimisha Mashindano ya
Kuhifadhi Qur'an Tukufu ya Kimataifa kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee
jijini Dar es salaam Juni 26, 2016

Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa na watoto wadogo kuliko wote walioshiriki
katika Mashindano ya Kuhifadhi Qur'an Tukufu ya Kimataifa kwenye ukumbi
wa Diamond Jubilee jijini Dar es salaam Juni 26, 2016.Watoto hao ni
Abuzar Kholidi wa Tajikistan (Kulia) na Ahmad Abdullah Al-Azhar wa wa
Bangladesh

Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na baadhi ya wageni kwenye ukumbi
wa Diamond Jubilee jijini Dar es salaam Juni 26, 2016 kuhitimisha
Mashindano ya Kuhifadhi Qur'an Tukufu ya kimataifa kwenye ukumbi wa
Diamond Jubilee jijini Dar es slaam
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni