Wafanyakazi
wa Vodacom Tanzania, wakibeba vyakula wakati wa hafla ya kutoa msaada
wa vyakula katika viwanja vya Ikulu mjini Bagamoyo jana. Wafanyakazi
wa Vodacom Tanzania kupitia taasisi ya jamii ya Vodacom Tanzania
Foundation, walijumuika na Waislamu wa Bagamoyo na vitongoji vyake, kwa
kuwapa msaada wa vyakula mbalimbali kwa ajili ya Mwezi Mtukufu wa
Ramadhani.
PICHA NA MPIGAPICHA WETU
Meneja
wa Ruzuku na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania Foundation, Sandra
Oswald (wa pili kushoto) akigawa vyakula kwa wanawake waislamu, wakati
wa hafla ya kutoa msaada wa vyakula katika viwanja vya Ikulu mjini
Bagamoyo jana. Wafanyakazi wa Vodacom Tanzania kupitia taasisi ya jamii
ya Vodacom Tanzania Foundation,walijumuika na Waislamu wa Bagamoyo na
vitongoji vyake, kwa kuwapa msaada wa vyakula mbalimbali kwa ajili ya
Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Wakazi
wa Bagamoyo, Mohamed Ammer Maki (kulia) akifurahia msaada wa vyakula,
wakati wa hafla ya kutoa msaada wa vyakula katika viwanja vya Ikulu
mjini Bagamoyo jana. Wafanyakazi wa Vodacom Tanzania kupitia taasisi
ya jamii ya Vodacom Tanzania Foundation, walijumuika na Waislamu wa
Bagamoyo na vitongoji vyake, kwa kuwapa msaada wa vyakula mbalimbali
kwa ajili ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni