Baadhi
 ya Vifaa mbalimbali vya Hospitali ambavyo vimetolewa Msaada na Jumuiya 
ya Muzdalifat wakishirikiana na Shirika la Helping Hand kutoka marekani 
vikiteremshwa  katika Hospitali ya Mnazi mmoja Mjini Unguja.
 Katibu
 Mkuu wa Jumuiya ya Muzdalifat Farouk Hamadi akitoa nasaha kwa mgeni 
rasmi na Waalikwa katika hafla ya kukabidhi msaada wa Vifaa mbalimbali 
vya Hospitali vilivyotolewa msaada na Jumuiya ya Muzdalifat 
wakishirikiana na Shirika la Helping Hand kutoka Marekani,katika  katika
 Hospitali ya Mnazi mmoja Mjini Unguja.
 Mwakilishi
 wa Shirika la Helping Hand, Muhammad Irfan Bashir akitoa hotuba  katika
 hafla ya kukabidhi msaada wa Vifaa mbalimbali vya Hospitali 
 vilivyotolewa msaada na Jumuiya ya Muzdalifat wakishirikiana na Shirika
 la Helping Hand kutoka Marekani,katika Hospitali ya Mnazi mmoja Mjini 
Unguja.
 Katibu
 Mkuu wa Jumuiya ya Muzdalifat Farouk Hamadi katikati akiwa na 
Mwakilishi wa Shirika la Helping Hand Muhammad Irfan Bashir kushoto 
wakimkabidhi Kaimu Mkurugenzi wa Hospitali ya Mnazi Mmoja  Dk,Msafiri 
Marijani moja kati ya Vifaa vilivyotolewa Msaada na Jumuiya ya 
Muzdalifat wakishirikiana na Shirika la Helping Hand kutoka 
marekani,katika Hospitali ya Mnazi mmoja Mjini Unguja.
Kaimu
 Mkurugenzi wa Hospitali ya Mnazi Mmoja  Dk,Msafiri Marijani akitoa 
nasaha kwa niaba ya Naibu Waziri wa Afya Baada ya kupokea Msaada wa 
Vifaa mbalimbali vya Hospitali vilivyotolewa Msaada na Jumuiya ya 
Muzdalifat wakishirikiana na Shirika la Halping Hand kutoka 
marekani,katika Hospitali ya Mnazi mmoja Mjini Unguja.
PICHA NA YUSSUF SIMAI-MAELEZO ZANZIBAR





Hakuna maoni:
Chapisha Maoni