Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo (UNDP) nchini, Rodriguez  Alvaro
 (kulia) akizungumza na Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa 
Tanzania Dkt. Tulia Ackson (kulia) mara baada ya kufika Ofisini kwake 
Bungeni Dodoma leo.
Naibu
 Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Tulia Ackson 
(kulia) akizungumza na Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na
 Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo (UNDP) nchini Tanzania , Rodriguez  Alvaro (kulia) mara baada ya mwakilishi huyo kufika Ofisini kwake Bungeni Dodoma leo.
Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo (UNDP) nchini, Rodriguez  Alvaro
 (kulia) akimwonesha Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa 
Tanzania Dkt. Tulia Ackson (kulia) sehemu ya taarifa ya mwaka ya 
utekelezaji wa programu mbalimbali za Umoja wa Mataifa nchini mara baada
 ya kufika Ofisini kwake Bungeni Dodoma leo.
Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo (UNDP) nchini, Rodriguez  Alvaro
 (kulia) akimkabidhi Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa 
Tanzania Dkt. Tulia Ackson (kulia) taarifa ya mwaka ya utekelezaji wa 
programu mbalimbali za Umoja wa Mataifa nchini mara baada ya kufika 
Ofisini kwake Bungeni Dodoma leo.
Wabunge
 Mhe. Margaret Sitta (Kushoto) na Mhe. Najma Murtaza Giga, Mwenyekiti wa
 Bunge wakiwa katika picha ya pamoja kwenye rangi za Malengo Mapya ya 
Maendeleo Endelevu 17 ya dunia wakati wa Semina ya wabunge kuhusu 
mchango wao katika utekelezaji wa malengo hayo nchini iliyofanyika 
Bungeni, Dodoma.
Naibu
 Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Tulia Ackson 
(kulia) akiwa katika picha ya pamoja na Mratibu Mkazi wa Mashirika ya 
Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo (UNDP) nchini 
Tanzania , Rodriguez  Alvaro
 (kulia) kwenye rangi za Malengo Mapya ya Maendeleo Endelevu 17 ya dunia
 wakati wa Semina ya wabunge kuhusu mchango wao katika utekelezaji wa 
malengo hayo Bungeni Dodoma leo.
Naibu
 Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Tulia Ackson 
akiwa ameshika mabango mawili yenye malengo mapya 2 ya Maendeleo 
Endelevu kati ya 17 ya Umoja wa Mataifa yanayotakiwa kutekelezwa duniani
 kote kuanzia mwaka huu hadi 2030.
Naibu
 Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Anastazia Wambura 
(kushoto) katika picha ya pamoja na Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo 
(UNDP) nchini Tanzania , Rodriguez  Alvaro
 (kulia) wakiwa na mabango yenye Malengo Mapya 2 kati ya 17 ya dunia 
wakati wa Semina ya wabunge kuhusu mchango wao katika utekelezaji wa 
malengo hayo Bungeni Dodoma leo.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni