Mkurugenzi Mtendaji wa benki ya Barclays Tanzania, Abdi Mohamed na Mtendaji
Mkuu Benki ya Barclays Afrika na Mtendaji Mkuu wa wateja wa rejareja na
bashara wa benki hiyo, Roy Ross wakikata utepe kuashiria uzinduzi wa
kufunguliwa tawi la benki ya Barclays katika jengo la City Mall jijini
Dar es Salaam leo.
Mkurugenzi
Mtendaji wa benki ya Barclays Tanzania, Abdi Mohamed akizungumza katika
uzinduzi wa Tawi la benki ya Barclays katika jengo la City Mall jijini
Dar es Salaam leo.
Mtendaji
Mkuu Benki ya Barclays Afrika na Mtendaji Mkuu wa wateja wa rejareja na
bashara wa benki hiyo, Roy Ross akizungumza na wafanyakazi wa benki ya
Barclays hapa nchini pamoja na wateja wakati wa uzinduzi wa tawi jipya
la benki hiyo katika jengo la City Mall jijini Dar es Salaam.
Kaimu
Mkuu wa kitengo cha Masoko benki ya Barclays, Joe Bendera akizungumza
na wafanyakazi, wateja na waandishi wa habari wakati wa kuzindua tawi
jipya la benki hiyo katika jengo la City Mall jijini Dar es Salaam leo.
Kikundi cha noma kikitumbuiza katika uzinduzi wa tawi jipya katika jengo la City Mall jijini Dar es Salaam leo.
Mkurugenzi Mtendaji wa benki ya Barclays Tanzania, Abdi Mohamed na Mtendaji
Mkuu Benki ya Barclays Afrika na Mtendaji Mkuu wa wateja wa rejareja na
bashara wa benki hiyo, Roy Ross wakikata utepe kuashiria uzinduzi wa
kufunguliwa tawi la benki ya Barclays katika jengo la City Mall jijini
Dar es Salaam leo.
Mtendaji
Mkuu Benki ya Barclays Afrika na Mtendaji Mkuu wa wateja wa rejareja na
bashara wa benki hiyo, Roy Ross akiwa katika picha ya pamoja na
viongozi wa juu wa benki ya Barclays hapa nchini jijini Dar es Salaam
leo wakati wa uzinduzi wa tawi jipya la benki hiyo katika jengo la City
Mall.
Mtendaji
Mkuu Benki ya Barclays Afrika na Mtendaji Mkuu wa wateja wa rejareja na
bashara wa benki hiyo, Roy Ross akiwa katika picha ya pamoja na
afanyakazi wa benki ya Barclays tawi la City Malll jijini Dar es Salaam
leo.
Mtendaji
Mkuu Benki ya Barclays Afrika na Mtendaji Mkuu wa wateja wa rejareja na
bashara wa benki hiyo, Roy Ross wakisaidiana kukata keki katika
uzinduzi wa Tawi la City Mall jijini Dar es Salaam leo.
Mtendaji Mkuu Benki ya Barclays Afrika na Mtendaji Mkuu wa wateja wa rejareja na bashara wa benki hiyo, Roy Ross na Mkurugenzi
Mtendaji wa benki ya Barclays Tanzania, Abdi Mohamed wakiwa katika
picha ya pamoja walipotembelea katika kaunta za Benki ya Barclays Tawi
la City Mall jijini Dar es Salaam leo.
Baadhi
ya wafanyakazi na wateja wa benki ya Barclays tawi la City Mall wakiwa
katika picha ya pamoja jijini Dar es Salaam leo mara baada ya
kuzinduliwa tawi hilo.
You might also like:
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni