Mkurugenzi
Mkuu wa Kampuni ya Bima ya Resolution na Kampuni ya Mikopo ya
Resolution Bw. Peter Nduati akielezea mabadiliko mbalimbali ya
kampuni,katika utendaji kazi na kuwajibika kwa wafanyakazi na
kuwasisitiza kuchapa kazi zaidi.
Wafanyakazi wa Resolution Insurance wakimsikiliza Mkurugenzi Mkuu Bw. Peter Nduati wakati akiongea nao.
Mkurugenzi
Mtendaji wa Kampuni ya Bima ya Resolution Tanzania Bi. Maryanne Mugo
akieleza kwa ufupi kuhusu IRAP na changamoto zake.
Meneja
wa Rasilimali Watu na Rasilimali Bi. Jennifer Mburu (kushoto) wa
Kampuni ya Bima ya Resolution akielezea Maana kamili ya IRAP na jinsi
wafanyakazi wa Resolution watakavyotakiwa kuishi na Filosofia hiyo ili
Kuboresha utendaji pamoja na Kumhudumia mteja kwa weredi. Kulia ni Bw.
Melchizedek Muro Mkuu wa Kitengo cha Huduma kwa wateja kutoka
Resolution.
Mkuu
wa Kitengo cha Huduma na Dharura kwa Wateja kutoka Kampuni ya Bima ya
Resolution Bi. Batuli Karya akitoa mrejesho baada ya Chemsha Bongo kwa
wafanyakazi kumalizika.
Baadhi
ya Wafanyakazi wa Resolution wakimsikiliza Mkuu wa Kitengo cha Huduma
na Dharura kwa Wateja Bi. Batuli Karya(hayupo Pichani) wakati wa
mrejesho wa Chemsha Bongo
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni