Rais
 wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha
 Bi. Angela Kairuki kuwa Waziri wa Madini Ikulu jijini Dar es salaam leo
 Oktoba 9, 2017
 Rais
 wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha
 Dkt. Hamisi Kigwangwalla  kuwa Waziri wa Maliasili na Utalii  Ikulu 
jijini Dar es salaam leo Oktoba 9, 2017
 Rais
 wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli 
akimuapisha  Mhe. Suleiman Saidi Jafo  kuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais
 (Tawala za mikoa na Serikali za Mitaa) Ikulu jijini Dar es salaam leo 
Oktoba 9, 2017
 Rais
 wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha
 Mhe. Kangi Lugola kuwa Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano 
na Mazingira)  Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 9, 2017
 Rais
 wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha
 Dkt Mary Machuche Mwanjelwa kuwa Naibu Waziri wa Kilimo Ikulu jijini 
Dar es salaam leo Oktoba 9, 2017
 
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli 
akimuapisha Mhe. Stella Alex Ikupa kuwa Naibu Waziri Ofisi ya Waziri 
Mkuu (Watu wenye ulemavu)  Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 9, 2017
 Rais
 wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha
 Mhe. Juliana Shonza  kuwa Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Wasanii na
 Michezo Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 9, 2017.
 
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli 
akimuapisha Mhe. Stephen Kagaigai kuwa Katibu wa Bunge Ikulu jijini Dar 
es salaam leo Oktoba 9, 2017
 
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, 
Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Mhe. Kassima 
Majaliwa, Jaji Mkuu Profesa Ibrahim Juma, Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai
 Ikulu, Mwanasheria Mkuu wa Serikali George Masaju na Katibu Mkuu 
Kiongozi Balozi John Kijazi katika picha ya kumbukumbu na Mawaziri na 
Naibu Mawaziri baada ya hafla ya kuapishwa  jijini Dar es salaam leo 
Oktoba 9, 2017
 Rais
 wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipeana 
mikono na aliyekuwa  Katibu wa Bunge Dkt. Thomas Kashilila huku Jaji 
Mkuu Profesa Ibrahim Juma na Katibu wa Bunge Mpya Mhe. Stephen Magaigai 
wakianfalia Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 9, 2017 
 Rais
 wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiendesha 
kikao cha Baraza la Mawaziri mara tu baada ya kuwaapisha Mawaziri na 
Naibu Mawaziri wapya  Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 9, 2017
 
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli 
akiagana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na 
Mazingira) Mhe. January Makamba baada ya Mawaziri na Naibu Mawaziri 
wapya  kuapishwa Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 9, 2017.
 Rais
 wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na
 Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Utumishi) Mhe. George Mkuchika huku 
Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Mhe. Kassima 
Majaliwa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi wakiangalia baada ya
 hafla ya kuapishwa  Mawaziri na Naibu Mawaziri Ikulu jijini Dar es 
salaam leo Oktoba 9, 2017.
 Rais
 wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na
 Naibu  Waziri wa Nchi Ofisi Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) 
Mhe.Kangi Lugola huku  Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan, Waziri 
Mkuu Mhe. Kassima Majaliwa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi 
wakiangalia baada ya hafla ya kuapishwa  Mawaziri na Naibu Mawaziri 
Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 9, 2017
 Rais
 wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na
 Naibu Waziri wizara ya Nishati Mhe. Subira Hamisi Mgalu huku Makamu wa 
Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Mhe. Kassima Majaliwa na 
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi wakiangalia baada ya hafla ya 
kuapishwa  Mawaziri na Naibu Mawaziri Ikulu jijini Dar es salaam leo 
Oktoba 9, 2017.
 Rais
 wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na
 Naibu Waziri wa Kilimo Dklt. Mary Mwanjelwa huku Makamu wa Rais Mhe. 
Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Mhe. Kassima Majaliwa na Katibu Mkuu 
Kiongozi Balozi John Kijazi wakiangalia baada ya hafla ya kuapishwa  
Mawaziri na Naibu Mawaziri Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 9, 
2017.
 Rais
 wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na
 Naibu Waziri  Mifugo na Uvuvi Mhe. Abdallah Ulega  huku Makamu wa Rais 
Mhe. Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Mhe. Kassima Majaliwa na Katibu 
Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi wakiangalia baada ya hafla ya 
kuapishwa  Mawaziri na Naibu Mawaziri Ikulu jijini Dar es salaam leo 
Oktoba 9, 2017.
 Rais
 wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na
 Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhe. Jumaa Hamidu Aweso huku Makamu
 wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Mhe. Kassima Majaliwa na 
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi wakiangalia baada ya hafla ya 
kuapishwa  Mawaziri na Naibu Mawaziri Ikulu jijini Dar es salaam leo 
Oktoba 9, 2017.
 Rais
 wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana 
na  Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Watu wenye ulemavu) Mhe. Stella 
Alex Ikupa huku Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu 
Mhe. Kassima Majaliwa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi 
wakiangalia baada ya hafla ya kuapishwa  Mawaziri na Naibu Mawaziri 
Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 9, 2017.
 Rais
 wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana 
na  Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Wasanii na Michezo Mhe. Juliana 
Shonza huku Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Mhe. 
Kassima Majaliwa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi wakiangalia 
baada ya hafla ya kuapishwa  Mawaziri na Naibu Mawaziri Ikulu jijini Dar
 es salaam leo Oktoba 9, 2017.
Rais
 wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana 
na  Naibu Waziri wa Kazi, Vijana na Ajira, Mhe. Anthony Mavunde   huku 
Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Mhe. Kassima 
Majaliwa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi wakiangalia baada ya
 hafla ya kuapishwa  Mawaziri na Naibu Mawaziri Ikulu jijini Dar es 
salaam leo Oktoba 9, 2017. Picha na IKULU

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni