MKUU WA WILAYA YA MONDULI, NDUGU IDD KIMANTA AWATAKA WANANCHI KUTUMIA HUDUMA ZA KIBENKI KUHARAKISHA MAENDELEO


Mkuu
wa wilaya ya Monduli mkoa wa Arusha,Idd Kimanta(kushoto) akizungumza na
Mameneja wa benki ya NMB mara baada ya kuwasili eneo la Mto wa Mbu
kufungua tawi jipya litakalowahudumia wanaochi na taasisi
mbalimbali,kutoka kushoto ni Meneja wa NMB Kanda ya Kaskazini,Saria
Mlay,Meneja wa tawi la Mto wa Mbu,Happiness Patrick,Meneja wa tawi la
Clock Tower,Manyolizu Masanja ,Meneja wa tawi la Business Center,Said
Parseko na Meneja wa tawi la Karatu,Elizabeth Chawinga

Mkuu
wa wilaya ya Monduli mkoa wa Arusha,Idd
Kimanta  akizungumza wakati wa ufunguzi wa tawi la benki ya NMB eneo la
Mto wa Mbu ambalo linachangia asilimia 70 ya mapato yote ya wilaya hiyo.

Baadhi ya mameneja waliohudhuria uzinduzi wa tawi la Mto wa Mbu wilayani Monduli.

Mkuu wa wilaya ya Monduli mkoa wa Arusha,Idd
Kimanta  akizindua tawi la benki ya NMB eneo la
Mto wa Mbu kushoto ni Meneja wa NMB kanda ya Kaskazini,Saria Mlay na Meneja wa tawi hilo,Happiness Patrick.

Mkuu wa wilaya ya Monduli mkoa wa Arusha,Idd
Kimanta  akipata huduma za kibenki kwenye tawi jipya baada ya uzinduzi .

Baadhi ya mameneja waliohudhuria uzinduzi wa tawi la Mto wa Mbu wilayani Monduli wakibadilishana mawazo.

Burudani ya ngoma kutoka kundi la Maasai Simba ikitumbuiza.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni