![]()  | 
| Msanii Madee kushoto akiwa na Janjaroo na TundaMan kwa pamoja kwenye jukwaa la Tamasha la Tigo Fiesta lililofanyika viwanja vya Leaders jijini Dar Es Salaam usiku wa kuamkia jana. | 
![]()  | 
| Ommy Dimpozi akiwa kwenye jukwaa la Tamasha la Tigo Fiesta lililofanyika viwanja vya Leaders usiku wa kuamkia jana | 
![]()  | 
| Ommy Dimpozi akiendelea kuburudisha katika jukwaa la Tamasha la Tigo Fiesta lililofanyika viwanja vya Leaders usiku wa kuamkia jana | 
![]()  | 
| Alikiba akiwa na kundi lake wakitumbuiza katika jukwaa la Tigo fiesta liliofanya hitimisho lake usiku wa kuamkia jana katika viwanja vya leaders Jijini Dar es salaam. | 
![]()  | 
| Vanessa Mdee akiwa na dansa wake wakitoa burudani kwa maelfu ya wakazi wa Jiji la Dar es salaam katika usiku wa jana viwanja vya leaders. | 
![]()  | 
| Fid q akitoa burudani katika jukwaa la Tigo fiesta jijini Dar es salaam katika kilele chake kilichofanyika katika viwanja vya Leaders. | 
![]()  | 
| Mashabiki wa muziki wakifurahia burudani mbalimbali zilizotolewa katika kilele cha Tigo Fiesta usiku wa kuamkia jana katika viwanja vya Leaders Jijini Dar es salaam. | 
![]()  | 
| Fid Q akiendelea kuburudisha katika Jukwaaa la Tigo Fiesta . | 
![]()  | 
| Mwanamziki Mkongwa wa BongoFleva Afande sele akiwa katika jukwaaa la Tigo fiesta usiku wa kuamkia jana katika viwanja vya leaders jijini Dar es salaaam. | 
![]()  | 
| Maua Sama akiwa na kundi lake akitumbuiza katika kilele cha Tigo Fiesta usiku wa kuamkia jana katika viwanja vya leaders . | 
![]()  | 
| Benpol akitumbuiza katika jukwaa la Tigo Fiesta usiku wa kuamkia jana | 
![]()  | 
| Wasanii Kassim Mganga na Jux wakishirikiana kuimba pamoja kwenye Tamasha la Tigo Fiesta lililofanyika viwanja vya Leaders jijini Dar Es Salaam juzi. | 
![]()  | 
| Richie Mavoko akiwa na kundi lake akitumbuiza katika kilele cha tigo fiesta usiku wa kuamkia jana. | 
![]()  | 
| Chege Chigunda akipagawisha maelfu ya wakazi wa Jiji la Dar es salaam waliojitokeza katika viwanja vya Leaders katika kilele cha Tigo Fiesta usiku wa kuamkia jana. | 















Hakuna maoni:
Chapisha Maoni