Mfamasia
wa kitengo cha afya ya uzazi na Mtoto kutoka Wizara ya Afya, Wanawake,
Jinsia na Watoto, Machumu Mayeye akikata utepe kuashiria uzinduzi wa
mradi wa Hamasa na Tiba kwa Afya ya Uzazi na Uzazi wa Mpango,
uliofanyika leo jijini Dar es salaam.
Mkurugenzi
mkazi wa Amref Health Africa, Dk. Florence Temu akizungumza wakati wa
Uzinduzi wa mradi wa Hamasa na tiba kwa ajili ya Uzazi wa Mpango kwa
mikoa 24 nchi nzima ili kuweza kusaidia sekta ya Afya kwa msaada wa
Serikali ya Uholanzi.
Mfamasia
wa kitengo cha afya ya uzazi na Mtoto kutoka kutoka Wizara ya Afya
Wanawake jinsia na Watoto, Machumu Mayeye akizungumza kwa niaba ya
Mkurugenzi wa masuala ya afya ya uzazi na mtoto.
Meneja
mradi wa Masuala wa hamasa na Tiba kwa afya ya Uzazi na Mtoto kutoka
Amref Africa, Dk. Sarafina Mkuwa akizungumza wakati wa uzinduzi wa mradi
huo jijini Dar es Salaam.
Baadhi
ya Wadau walioshiriki katika Uzinduzi wa mradi wa Hamasa na tiba kwa
ajili ya Uzazi wa Mpango kutoka kwa Amref Afrika kwa msaada wa Serikali
ya Uholanzi.
Baadhi
ya Wadau walioshiriki wakati wa Uzinduzi wa mradi wa Hamasa na tiba
kwa ajili ya Uzazi wa Mpango kutoka kwa Amref Afrika kwa msaada wa
Serikali ya Uholanzi.wakiwa katika picha ya pamoja.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni