UHURU FM WAANZA LEO KUMBUKIZI YA BABA WA TAIFA KWA KUSAIDIA YATIMA KATIKA KAMPENI YAO YA 'GUSA MAISHA YAKE

Mkurugenzi wa Uhuru FM Angel Akilimali, akikabidhi msada wa vitu mbalimbali ikiwemo vyakula kwa Msimamizi Mkuu wa Kituo cha kulelea Watoto yatima na wasio chini ya malezi ya wazazi wao cha CHAKUWAMA, Hassani Hamis, Wafanyakazi wa Uhuru FM walipofika kituoni hapo, Sinza Jijini Dar es Salaam, leo, kutoa msaada katika kampeni ya “Gusa maisha yake” iliyoanzishwa na kituo hicho cha radio ikiwa ni sehemu ya kumbukizi ya kifo cha Baba wa Taifa, Hayati Mwalimu Nyerere. kulia ni Mtangazaji wa Uhuru FM Aggrey Manzi na wanne kulia ni Meja Rasilimali Watu na Utumishi wa Uhuru FM Paul Mng’ong’o. PICHA ZOTE NA BASHIR NKOROMO

SAFARI KUTOKA OFISI ZA UHURU FM MTAA WA KARIAKOO NA UKAMI KWENDA SINZA ILIPOANZA

Wafanyakazi wa Uhuru FM wakiwa tayari kupanda basi kwa ajili ya safari ya kwenda kwenye Kituo cha kulelea Watoto yatima na wasio chini ya malezi ya wazazi wao cha CHAKUWAMA, Sinza Jijini Dar es Salaam, kutoa msaada katika kampeni ya “Gusa maisha yake” iliyoanzishwa na kituo hicho cha radio ikiwa ni sehemu ya kumbukizi ya kifo cha Baba wa Taifa

Mpihapicha wa Uhuru FM Online TV akiwajibika wakati wa safari hiyo kwenda Sinza
                                                                                             Dereva akiwa tayari kwa safari
Wafanyakazi wa Uhuru FM wakiwa katika basi kwenda Sinza baadhi yao wakitaniana kidogo
Wafanyakazi wa Uhuru FM wakiwa katika basi kwa mapozi mbalimbali kwa ajili ya safari ya kwenda kwenye Kituo cha kulelea Watoto yatima na wasio chini ya malezi ya wazazi wao cha CHAKUWAMA, Sinza Jijini Dar es Salaam, kutoa msaada katika kampeni ya “Gusa maisha yake” iliyoanzishwa na kituo hicho cha radio ikiwa ni sehemu ya kumbukizi ya kifo cha Baba wa Taifa

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni