RC SHIGELLA AFUNGUA MKUTANO WA BARAZA KUU LA 47 LA WAFANYAKAZI WA TANESCO NCHINI MJINI TANGA LEO


Mkuu wa Mkoa wa Tanga,Martini Shigella akifungua Baraza kuu la 47 la Wafanyakazi wa Shirika la Umeme nchini Tanzania (Tanesco) uliofanyika kwenye ukumbi wa mikutano wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa mjini Tanga kulia ni Katibu wa Baraza hilo,Asmaa Myale
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme la Tanzania (Tanesco) Dkt  Tito Mwinuka akitoa hutuba yake wakati wa ufunguzi huo uliofanyika mjini Tanga 
Mwenyekiti wa Tuico Taifa,Paul Sangeze akizungumza wakati wa Baraza hilo kushoto ni Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Tanesco,Dkt Tito Mwinukakatika mkutano huo uliofanyika mjini Tanga
Katibu wa Baraza Kuu la Wafanyakazi,Asmaa Myale akizungumza katika mkutano huo kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Tanga,Martini Shigella na Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco)Dkt Tito Mwinuka na Mwenyekiti wa wa Tuico Taifa,Paul Sangeze

 Mkuu wa Mkoa wa Tanga,Martini Shigella kushoto akipongezwa na Mwenyekiti wa Tuico Taifa,Paul Sangeze mara baada ya kufungua mkutano wa Baraza kuu la 47 la wafanyakazi wa Shirika la Umeme nchini Tanzania (Tanesco) leo mjini Tanga anayeshughudia ni Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika hilo,Dkt Tito Mwinuka kushoto ni Katibu wa Baraza kuu la wafanyakazi,Asmaa Myale
 Baadhi ya wajumbe wa baraza hilo wakifuatilia kwa umakini hotuba ya Mkuu wa Mkoa wa Tanga,Martin Shigella
Sehemu ya wajumbe wa mkutano huo wakiufuatilia kwa umakini

Wajumbe wa mkutano huo wakifuatilia kwa umakini mkutano huo

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni