Afisa
Uhusiano wa Mamaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Mifuko ya Hifadhi ya
Jamii (SSRA), Agnes Lubuva (kushoto), akiwapatia maelezo wananchi pamoja
na wajasiriamali kuhusu kazi na majukumu ya taasisi hiyo kwa jamii,
walipotembelea banda hilo, wakati wa maonesho ya Wiki ya Fursa za
Kifedha na Uwekezaji viwanja vya Mnazi Mmoja, Dar es Salaam mwishoni mwa
wiki.
Mkuu
wa Idara ya Uhusiano na Uhamasishaji wa Mamlaka ya Usimamizi na
Udhibiti wa Mifuko ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), Sarah Kibonde Msika,
akitoa somo juu ya umuhimu wa kujiunga na kujiwekea akiba kwenye mifuko
ya hifadhi ya jamii kwa manufaa ya baadaye ya familia, wakati alipokuwa
akitoa elimu kwa wajasiriamali kutoka sehemu mbalimbali katika Wiki ya
Fursa za Kifedha na Uwekezaji, viwanja vya Mnazi Mmoja, jijini Dar es
Salaam.
Wajasiriamali
kutoka sehemu mbalimbali jijini Dar es Saaam, wakimsikiliza Mkuu wa
Idara ya Uhusiano na Uhamasishaji wa Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa
Mifuko ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), Sarah Kibonde Msika, alipokuwa
akitoa elimu kuhusu, Umuhimu wa kujiunga na mifuko ya hifadhi ya jamii,
wakati wa Wiki ya Fursa za Kifedha na Uwekezaji, viwanja vya Mnazi Mmoja
jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
Mkuu
wa Idara ya Uhusiano na Uhamasishaji wa SSRA, Sarah Kibonde Msika,
akitoa somo kwa wajasiriamali juu ya umuhimu wa kujiunga na kujiwekea
akiba kwenye mifuko ya hifadhi ya jamii kwa manufaa ya sasa na baadaye
ya familia, wakati wa Wiki ya Fursa za Kifedha na Uwekezaji, viwanja vya
Mnazi Mmoja, jijini Dar es Salaam.
Wajasiriamali
wakifuatilia mada iliyokuwa ikitolewa na Mkuu wa Idara ya Uhusiano na
Uhamasishaji wa SSRA, Sarah Kibonde Msika (hayupo pichani) katika Wiki
ya Fursa za Kifedha na Uwekezaji, viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es
Salaam mwishoni mwa wiki.
Wajasiriamali
wakiwa makini wakimsikiliza Mkuu wa Idara ya Uhusiano na Uhamasishaji
wa SSRA, Sarah Kibonde Msika, alipokuwa akitoa elimu kuhusu, Umuhimu wa
kujiunga na kujiwekea akiba katika mifuko ya hifadhi ya jamii kwa
manufaa ya baadaye na wakati matatizo,katika maadhimisho ya Wiki ya
Fursa za Kifedha na Uwekezaji, viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es
Salaam mwishoni mwa wiki.
Mkuu wa Idara ya Uhusiano na Uhamasishaji wa SSRA, Sarah Kibonde Msika, akitoa somo kwa wajasiriamali.
Wajasiriamali
wakiwa katika kongamano la Wiki ya Fursa za Kifedha na Uwekezaji,
ambapo walielezwa kuhusu umuhimu wa kujiunga na kuweka akiba zao katika
mifuko ya Hifadhi ya Jamii kwa manufaa ya sasa na baadaye na Mkuu wa
Idara ya Uhusiano na Uhamasishaji wa SSRA, Sarah Kibonde Msika (hayupo
pichani), viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni