MTAFITI WA SOKWE DKTA JANE GOODAL ATEMBELEA HIFADHI YA GOMBE MKOANI KIGOMA


Mtafiti Dkt Jane Goodall akichukua taswira mara baada ya kuona kundi la Wanahabari katika msitu wa Hifadhi ya Taifa ya Gombe wakimngojea.
Mtalii raia wa Colombia ,Sandra Renasco akihamaki baada ya kuonana ana kwa ana na Dkt Jane Goodall ,mtu ambaye anamtaja kama Role Model wake.
Mtafiti wa Kimataifa wa Sokwe ,Dt Jane Goodall akisalimiana na Meneja Mawasiliano wa Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) Pascal Shelutete baada ya kukutana katika Hifadhi ya Taifa ya Gombe. katikati ni Mhifadhi Mkuu wa Hifadhi ya taifa ya Gombe ,Dkt Noelia Muyonga na kulia ni mwanahabari Mkinga Mkinga.
Mtafiti ,Dkt Jane Goodall  akimueleza jambo Meneja Mawasiliano wa Shirika la Hifadhi za Taifa Pascal Shelutete kabla ya kuanza mahojiano na waandishi wa habari.kushoto mwa Dkt Goodall ni Daktari wa mifugo Dkt ,Anthony Collins .
Meneja Mawasiliano wa Shirika la Hifadhi za Taifa ,(TANAPA) Pascal Shelutete akifanya utamburisho wa Wanahabari waliofika katika Hifadhi ya Taifa ya Gombe kwa ajili ya mahojiano na Dkt Jane

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni