Rais Barack Obama wa Marekani
amemfanyia bonge la sherehe ya kuzaliwa binti yake Milia wakati
akitimiza miaka 18.
Sheria hiyo ilifanyika ikitumbuizwa
na Kendrick Lamar ambapo Rais Obama alimuimbia wimbo wa Happy
Birthday Milia licha ya kutozingatia vina vyake.
Rais Obama akimuimbia Milia huku Kendrick Lamar akipiga makofi na kutabasamu kulia ni nyota Janelle Mona
Birthday girl Milia akiwa na furaha tele katika siku yake ya kuzaliwa
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni