Na Bashir Nkoromo
Maandalizi ya Mkutano Mkuu Maalum wa CCM uliopangwa kufanyika Julai 23, 2016 mjini Dodoma yamezidi kuiva.
Taarifa
iliyotolewa leo jijiniDar es Salaam, ikiwa imesainiwa na Katibu Mwenezi
wa CCM, Nape Nnauye imesema, mkutano huo utatanguliwa na Kikao cha
Kamati Kuu ya Halimashauri Kuu ya Taifa ya CCM (CC) kitakachofanyika
Julai 21, 2016, na kufuatiwa na Kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC)
siku ya pili, Julai 22, 2016.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni