EFTA NA TCCIA WAWAKUTANISHA WAJASIRIAMALI NA WAFANYABIASHARA WA MKOA WA ARUSHA KUZITANGAZA BIDHAA ZAO KWENYE HAFLA MCHAPALO

Juu na chini ni MC wa shughuli ya taasisi ya mikopo ya mashine(EFTA) na chama cha wafanyabiashara mkoani Arusha(TCCIA)Hamza Kalmera akiwalekeza jambo kwenye Hafla mchapalo iliyoandaliwa kwa pamoja na wadau hao ilikuweza kubadilisha uzoefu na kujuana sanjari na kutangaza bidhaa zao wanazozalisha iliyofanyika jijini Arusha kwenye ukumbi wa Golden Rose picha na mahmoud ahmad wa manyara leo blog


Pichani ni Wajasiriamali wakubwa na wakati wakibadilisha na kufahamiana kuhusu shughuli wanazofanya sanjari na kuzitangaza bidhaa zao kwenye hafla mchapalo iliyoandaliwa na EFTA NA TCCIA kwenye ukumbi wa Golden Rose jijini Arusha.

Meneja wa EFTA Mkoani Arusha akielezea shughuli zinazofanywa na taasisi hiyo ya utoaji wa mikopo ya mashine kwa wafanyabiashara,wajasiriamali,na wakulima hapa nchini wakati wa hafla mchapalo iliyoandaliwa na taasisi hiyo kwa kushirikiana na chama cha wafanyabiashara hapa nchini TCCIA

Meneja wa masoko wa Efta Peter Temu mwenye flana nyeupe na Meneja wa Efta mka wa Arusha wakibadilishana mawili matatu kwenye hafla mchapalo na wadau wa biashara pamoja na wajasiriamali kwenye ukumbi wa Golden Rose jijini Arusha picha zote na Manyara leo Blog Arusha

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni