Waziri
wa Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na walemavu Mh Jenista Mhagama
akipata maelezo kutoka kwa maafisa wa GEPF ya jinsi Mfuko ulivyofanikiwa
kutoa huduma kwa wajasiriamali.
Pichani Mh Jenista Mhagama akitia saini kitabu cha kumbukumbu za wageni waliopita katika banda la GEPF.
Uzinduzi
wa Boda boda Scheme ulivutia wadau wengi wa sekta ya hifadhi ya jamii
nchini. Pichani ni Mkurugenzi Mkuu wa NSSF Prof. Godius Kahyarara
baada ya kupata maelezo ya mafanikio ya Boda Boda Scheme kutoka kwa
Afisa masoko Bw Valence Masebu.
Wanachama
wa Mfuko toka Jeshi la Polisi wakifurahia jambo na Afisa Masoko Bw Adam
Hamza baada ya kukabidhiwa statements za michango yao.
Pichani wajasiriamali (Mama lishe) wakijaza fomu za kujiunga na mpango maalum wa kujiwekea akiba ya uzeeni (VSRS) huku wakipatiwa maelezo na Afisa Masoko Bw Avit Nyambele.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni