Hapa ni katika mgodi wa dhahabu Acacia
Buzwagi wilayani Kahama mkoani Shinyanga.Kushoto ni Meneja Mkuu wa Mgodi
wa Dhahabu wa North Mara,Sam Roesler na Mkuu wa Kitengo cha Utumishi
Kampuni ya Acacia ofisi za London nchini Uingereza (kulia) wakichangia
damu kwa ajili ya hospitali ya Mji wa Kahama-Picha na Kadama
Malunde-Malunde1 blog
Meneja Mkuu wa Mgodi wa Acacia Buzwagi Asa Mwaipopo akitoa damu.Kulia ni mtaalamu wa afya Rose Manyama
Meneja Mkuu wa Mgodi wa Acacia Buzwagi Asa Mwaipopo akitoa damu.
Afisa Mwendeshaji Mkuu wa Kampuni ya Acacia ofisi za London, nchini
Uingereza Mark Morcombe akichangia damu kwa ajili ya kuokoa maisha ya
Watanzania.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni