Staa wa timu ya taifa ya Ujerumani na klabu ya Man United ya England Bastian Schweinsteiger leo July 12 2016 ametangaza kufunga ndoa na mpenzi wake raia wa Serbia Ana Ivanovic ambaye pia ni mwanamichezo.
Bastian Schweinsteiger amefunga ndoa na Ana Ivanovic ambaye ni mchezaji wa tennis ikiwa ni miaka miwili imepita toka mastaa hao wawe pamoja, Bastian Schweinsteiger na Ana Ivanovic wamefunga ndoa leo mbele ya ndugu jamaa na marafiki.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni