Waziri
Mkuu, Kassim Majliwa na Mkewe Mary wakimtazama Lorand Leonard Kambangu
akiendesha baiskeli ya magurudumu matatu aliyopewa na Mke wa Waziri
Mkuu katika mkutano wa hadahra uliohutubiwa na Waziri Mkuu kwenye
kijiji cha Nanganga wilayani Luangwa Julai 14, 2016. Kushoto ni Mkuu
wa mkoa wa Lindi, Godfrey Zambi.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni