
Kaimu Naibu Mkurugenzi Mtendaji Usambazaji na Huduma kwa Wateja wa
Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco), Mhandisi Sophia Mgonja (wa tatu
kushoto), akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wafanyakazi wa
shirika hilo katika maonesho ya 40 ya Biashara ya Kimataifa Dar es
Salaam 2016 kwenye viwanja vya Biashara vya Mwalimu Nyerere Barabara ya
Kilwa Dar es Salaam leo.
Mmoja
wa wafanyakazi wa kampuni ya kuendeleza jotoardhi Tanzania(TGDC) wa
pili kushoto akitoa maelezo kwa Kaimu Naibu Mkurugenzi Mtendaji
Usambazaji na Huduma kwa Wateja wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco),
Mhandisi Sophia Mgonja.

Kaimu Meneja Uhusiano Tanesco, Leila Muhaji (kushoto), akiwa na Kaimu
Naibu Mkurugenzi Mtendaji Usambazaji na Huduma kwa Wateja wa Shirika la
Umeme Tanzania (Tanesco), Mhandisi Sophia Mgonja walipotembelea banda la
TGDC.

Kaimu
Naibu Mkurugenzi Mtendaji Usambazaji na Huduma kwa Wateja wa Shirika la
Umeme Tanzania (Tanesco), Mhandisi Sophia Mgonja (kushoto),
akimsikiliza mteja aliyetembelea banda hilo.

Mteja akisikilizwa.

Wateja
wakipata maelekezo kutoka kwa mfanyakazi wa Tanesco (kulia), jinsi ya
kuunganishiwa umeme katika chumba kimoja hadi viwili.

Mtaalamu wa Tanesco akiwaonesha wananchi jinsi ya kuunganisha umeme katika nyumba za makazi
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni