Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(kushoto) akimuapisha Bw.Said Bakar Jecha kuwa Kamishna wa Tume ya
Maadili ya Viongozi wa Umma,katika hafla iliyofanyika Ikulu Mjini
Zanzibar leo
Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(kushoto) akimuapisha Bibi Septuu Mohamed Nassor kuwa Kamishna wa Tume
ya Maadili ya Viongozi wa Umma,katika hafla iliyofanyika Ikulu Mjini
Zanzibar
Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(kushoto) akimuapisha Dk.Juma Yakout Juma kuwa Naibu Katibu Msaidizi wa
Baraza la Mapinduzi (Sera,Ufuatiliaji na Tathmini) katika hafla
iliyofanyika Ikulu Mjini Zanzibar
Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(kushoto) akimuapisha Ndg.Tahir Mohamed Khamis Abdulla kuwa Naibu Katibu
Mkuu Wizara ya Ardhi,Maji,Nishati na Mazingira katika hafla
iliyofanyika Ikulu Mjini Zanzibar
Waziri wa
Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe,Issa Haji
Ussi (Gavu) na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais,Katiba Sheria,utumishi wa
Umma na Utawala Bora Mhe,Haroun Ali Suleiman wakiwa ni miongoni mwa
Viongozi waliohudhuria katika kuapishwa Viongozi mbali mbali leo Ikulu
Mjini Zanzibar,[Picha na Ikulu.] 25/07/2016.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni