Meneja
wa banda la Benki ya NMB katika maonesho ya 40 ya Biashara ya Kimataifa
ya Dar es Salaam 2016, Josephiner Kulwa (kushoto), akimkaribisha Rais
mstaafu Dk. Jakaya Kikwete alipotembelea banda hilo Dar es Salaam leo
asubuhi.
Meneja
wa banda la Benki ya NMB katika maonesho ya 40 ya Biashara ya Kimataifa
ya Dar es Salaam 2016, Josephiner Kulwa (kushoto), akitoa maelezo kwa
Rais mstaafu Dk. Jakaya Kikwete kuhusu shughuli mbalimbali zinazofanywa
na benki hiyo.
Rais
mstaafu Jakaya Kikwete (katikati), akitoka katika banda la Benki ya NMB
alipotembelea banda hilo kwenye maonesho ya 40 ya Biashara ya Kimataifa
ya Dar es Salaam 2016 yanayoendelea katika viwanja vya Biashara vya
Mwalimu Nyerere Dar es Salaam leo . Kulia ni Meneja wa banda hilo,
Josephiner Kulwa na Kushoto ni Kaimu Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maendeleo
ya Biashara Tanzania (TanTrade), Edwin Rutageruka. Maonesho hayo
yatafikia tamati kesho kutwa.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni