Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan
akitoa Nasaha maalum mara baada ya kumaliza kufuturu na watoto Yatima kwenye viwanja vya Karimjee iliyoandaliwa na kampuni ya Chocolate Princess inayoandaa kipindi television cha Mboni Show.
Mkuu wa Wilaya ya kinondoni Mhe. Ally Hapi (kushoto) akiwa kwenye dua pamoja na wageni waalikwa wengine.
Watoto
Yatima wakiswali wakati wa tafrija ya kufuturisha watoto Yatima
iliyoandaliwa na kampuni ya Chocolate Princess inayoandaa kipindi cha
televisheni cha Mboni Show ambapo mgeni rasmi alikuwa Makamu wa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan na kufanyika
kwenye viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam.
Makamu wa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu
Hassan(kushoto) akisalimiana na Mkuu mpya wa Wilaya ya Ilala Sophia
Mjema (kulia) mwingine pichani ni Mkurugenzi wa kampuni ya Chocolate
Princess inayotengenezakipindi cha television cha Mboni Show Bi. Mboni
Masimba wakati wa tafrija ya kufuturisha watoto yatima iliyofanyika
kwenye viwanja vya Karimjee.
Mkurugenzi
wa kampuni ya Chocolate Princess kinachoandaa kipindi cha The Mboni
Show akizungumza wakati wa kufuturisha watoto yatima .
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni