Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akisalimiana na baadhi ya Wazee ambao wametimiza miaka 70 ambao
wanapokea mafao maalum ya uzeeni yaliyoidhinishwa na Rais wakati
alipofika katika Viwanja vya Wazee Sebleni kwa ajili ya kumshukuru na
Kumpongeza leo.
Wazee
waliostaaafu katika Idara mbali mbaliu za Serikali na ambao wametimiza
Umri wa miaka 70 wakiwa katika viwanja vya Makaazi ya Wazee Sebleni
Mjini Unguja wakati wa Shukurani maalum za Wazee hao na kumpongeza Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
kwa kuwawezesha kupata mafao katika umri huo,hafla iliyofanyika leo.
Wazee
wa Wilaya ya Kusini Unguja nao walihudhuria katika hafla ya kumponheza
na kumshukuru Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein kwa kuwawezesha kupata mafao ya kufikia umri wa
miaka 70 katika hafla iliyofanyika leo viwanja vya makaazi ya Wazee
Sebleni Mjini Unguja.
Msoma
utenzi Bw.Mohamed Abdalla Zungu kutoka Kijiji cha Uroa Wilaya ya Kati
Mkoa wa Kusini Unguja akighani Utenzi wake wakati wa hafla ya Shukrani
na Pongezi maalum kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein zilizotolewa leo na Wazee wanaopokea
pencheni kwa kutimiza umri wa miaka 70 katika Viwanja vya makaazi ya
Wazee Sebleni Mjini Unguja.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akisalimiana na Mzee Bi Mtumwa Ali Khamis ambae alishiriki katika mchezo
wa kuigiza wakati wa Shukrani na Pongezi maalum kwa Rais wa Zanzibar
zilizotolewa na Wazee waliotimiza umri wa miaka 70 katika hafla
iliyofanyika leo viwanja vya makaazi ya Wazee Sebleni Mjini Unguja.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
alipokuwa akitoa hutuba yake kwa wazee waliotimiza umri wa miaka 70
katika hafla maalum ya ilyofanyika kumpongeza yeye Rais iliyofanywa na
Wazee hao katiika Viwanja vya makaazi ya Wazee Sebleni Mjini Unguja leo.
Picha na Ikulu, Zanzibar.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni