Meneja
 kiongozi wa Masoko na Uhusiano Eunice Chiume akimpatia Maelezo juu ya 
Mradi wa Nyumba wa Kijichi Mwenyekiti Mpya wa Bodi ya Wadhamini ya NSSF 
Prof. Samwel Wangwe alipotembelea Banda la NSSF kwenye Maonesho ya 40 ya
 biashara ya Kimataifa.
 Katibu
 Mkuu Wizara ya Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi Mhandisi Joseph 
Nyamhanga akifurahia baada ya kupewa maelezo juu ya Miradi ya Nyumba ya 
Mtoni Kijichi, Toangoma na Dungu Farm, Miradi hiyo iliyopo kigamboni 
imevutia watu wengi kutokana na urahisi wake wa kufikika kupitiaDaraja 
la Nyerere
 Katibu
 Mkuu Wizara ya Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi Mhandisi Joseph 
Nyamhanga akifurahi baada ya kupewa Maelezo ya Mradiwa Viwanja Vya 
Kiluvya na Meneja kiongozi Masoko na Uhusiano wa NSSF EuniceChiume 
alipotembelea banda la NSSF.
 Msajili
 wa Hazina Lawrence Mafuru akifurahia maelekezo aliyokuwa akipewa na 
Meneje Kiongozi wa Masoko na Uhusiano EuniceChiume alipotembelea banda 
la NSSF kwenye maonesho ya 40 ya Kimataifa ya Biashara.


Hakuna maoni:
Chapisha Maoni