Mganga
 Mfawizi wa Hospitali Teule ya Muheza Malahiyo Rajabu akizungumza jambo 
kwa Mkuu wa wilaya ya Muheza,Hajat Mhandisi Mwanasha Tumbo ambaye hayupo
 pichani wakati alipofanya ziara ya kuitembelea hospitali hiyo
 Mganga Mfawizi wa Hospitali Teule ya Muheza Malahiyo Rajabu kulia 
akitoa ufafunuzi kwa Mkuu wa wilaya ya Muheza,Hajat Mhandisi Mwanasha 
Tumbo kushoto katikati ni Katibu Tawala wa wilaya ya Muheza wakati mkuu 
huyo wa wilaya alipofanya ziara kwenye hospitali hiyo
 kulia
 ni Mkuu wa wilaya ya Muheza Mkoani Tanga,Mhandisi,Hajat Mwanasha Tumbo 
akisisitiza jambo kwa DMO wa wilaya ya Muheza wa pili kutoka kushoto Dkt
 Elias Mayala wakati alipofanya ziara ya kuitembelea hospitali Teule ya 
Muheza
 
 
Kulia
 ni Mganga Mfawidhi wa Hospitali Teule ya Muheza,Malahiyo Rajabu 
akimueleza jambo Mkuu wa wilaya ya Muheza Mkoani Tanga,Hajat,Mhandisi 
Mwanasha Tumbo kuhusua namna wanavyofanya kazi kwenye maeneo mbalimbali 
ambaye alifanya ziara ya kushtukiza ya kuitembelea hospitali hiyo Habari
 kwa Hisani ya Blog ya Kijamii ya Tanga Raha.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni