Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akizungumza na Wakuu wa Mikoa na Wilaya Unguja na Pemba, alipowakumbusha
majukumu yao na kuwataka wafanye kazi sheria na taratibi kwa kazi
iliyopo sio kufanya kazi kwa mazoea, aliyasema hayo leo katika ukumbi wa
Ikulu Mjini Zanzibar,[Picha na Ikulu.] 04/07/2016.
Washauri
wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein wakiwa katika mkutano uliofanywa na Rais kwa Wakuu wa Mikoa na
Wilaya leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar ambao mkutano huo
umewataka wakuu hao kutekeleza majukumu yao kama sheria za Utumishi
zinavyoeleza na sio kufanya kazi kwa mazoea,[Picha na Ikulu.]
04/07/2016.
Baadhi ya Wakuu wa Wilaya za Unguja na Pemba wakifuatilia kwa makini
maelezo yaliyotolewa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) katika mkutano
uliofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja kwa ajili ya
kukumbushwa majukumu yao katika maeneo yao kazi,[Picha na Ikulu.]
04/07/2016.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akizungumza na Wakuu wa Mikoa na Wilaya Unguja na Pemba, alipowakumbusha
majukumu yao na kuwataka wafanye kazi sheria na taratibi kwa kazi
iliyopo sio kufanya kazi kwa mazoea, aliyasema hayo leo katika ukumbi wa
Ikulu Mjini Zanzibar,[Picha na Ikulu.] 04/07/2016.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni