Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli
akisalimiana na Makamu wa Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika Dkt
Frannie Leutier aliyemtembelea Ikulu ya Chamwino mjini Dodoma leo Julai
26, 2016. Kushoto ni ni Mwakilishi wa Benki hio nchini, Bi. Tonia
Kandiero
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli
akimwangalia Makamu wa Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika Dkt Frannie
Leutier akisaini kitabu alichotunga kabla ya kumkabidhi Rais
alipomtembelea Ikulu ya Chamwino mjini Dodoma leo Julai 26, 2016
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli
akipokea kitabu kutoka kwa Makamu wa Rais wa Benki ya Maendeleo ya
Afrika Dkt Frannie Leutier alipomtembelea Ikulu ya Chamwino mjini Dodoma
leo Julai 26, 2016
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli
katika picha ya pamoja na Makamu wa Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika
Dkt Frannie Leutier na ujumbe wake aliyemtembelea Ikulu ya Chamwino
mjini Dodoma leo Julai 26, 2016. Wa tatu kutoka kushoto ni Naibu Waziri
wa Fedha na Mipango Dkt. Ashatu Kijaji, wa tatu kulia ni Mwakilishi wa
Benki hio nchini, Bi. Tonia Kandiero, kulia ni Mchumi Mkuu kutoka Idara
ya Fedha za Nje Bw. Johannes Jovin akifuatiwa na Mkrugenzi Idara ya
Ushirikiano wa Kimataifa Wizara mambo ya Nje Balozi Celestine Mushy.
Kushoto ni Mshauri wa Rais Masuala ya Profesa Longinus Rutasitara
akifuatiwa na Mshauri wa Rais masuala ya Diplomasia Balozi Zuhura
Bundala
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni