Kamanda
wa Polisi Mkoa wa Mwanza, SACP. Ahmed Msangi, akifungua Uzinduzi huo
ulioandaliwa baina ya OJADACT na wadau wa Ulizi na Usalama, uliofanyika
katika Ukumbi wa Mkuu wa Mkoa wa Mwanza.
Picha zote na Atley Kuni- Msemaji wa OJADACT. Tanzania
Viongozi
wa dini wakiwa katika kikao, kilicho wahusisha waandishi wa Habari wa
mkoa wa Mwanza, wakati wa Uzinduzi wa kampeni ya kuzuia uhalifu mkoa wa
Mwanza yenye lengo la kupiga vita uhalifu wa aina yoyote katika mkoa wa
Mwanza ambayo inahusisha wadau mbalimbali pamoja na wananchi katika mkoa
huo.
Baadhi
ya Washiriki wa Uzinduzi wa Kampeni yakupambana na Uhalifu chini ya
Chama cha kupambana na Uhalifu na dawa za kulevya nchini OJADACT
Mwenyekiti
wa OJADACT. BW. Edwin Soko akitoa maelezo ya awali wakati wa uzinduzi
wa kampeni ya kuzuia uhalifu, iliyo zinduliwa na chama hicho
kwakushirikiana na vyombo vya ulinzi na usalama.
Picha zote na Atley Kuni- Msemaji wa OJADACT. Tanzania
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni