Katibu
Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akizungumza na Balozi wa Korea Song
Geum-Yung, Ofsni kwake, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba ijini
Dar es Salaam, leo Juni 15, 2016. (Picha na Bashir Nkoromo).
Mweneyekiti
wa CCM, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete akisalimiana na Msemaji wa CCM,
Christopher Ole Sendeka alipowasili Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM,
Lumumba Jijini Dar es Salaam, kwa ajili ya shughuli zake za kiofisi, leo
Juni 15, 2016. (Picha na Bashir Nkoromo).
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni