Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan na
Mzungumzaji Mkuu wa Mkutano wa kuwezesha Wanawake Kiuchumi katika
mkutano wa nane kwa Wakuu wa Nchi za Afrika, Caribean na pacific ACP
Mhe. Samia Suluhu Hassan, akihutubia kwenye mkutano huo uliofanyika leo
Juni 01,2016 katika kituo cha mikutano cha kimataifa PCC Nchini Papua
New Guinea.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan
akipongezwa na Rais Mstaafu wa Nigeria General Olibegan Obasanjo wakati
Makamu wa Rais alipomaliza kuhutubia Mkutano wa kuwezesha Wanawake
Kiuchumi kwenye mkutano wa nane kwa Wakuu wa Nchi za Afrika, Caribean na
pacific ACP uliofanyika leo Juni 01,2016 katika kituo cha mikutano cha
kimataifa PCC Nchini Papua New Guinea. Makamu wa Rais amemuwakilisha
Rais Dkt. John Magufuli kwenye Mkutano huo. Katikati Naibu waziri Mkuu
na Waziri wa Mambo ya Nje wa Namibia Mhe. Natumbo Nandi Ndaitwah.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan
akifurahia jambo na Rais Mstaafu wa Nigeria General Olibegan Obasanjo
wakati Makamu wa Rais alipomaliza kuhutubia Mkutano wa kuwezesha
Wanawake Kiuchumi kwenye mkutano wa nane kwa Wakuu wa Nchi za Afrika,
Caribean na pacific ACP uliofanyika leo Juni 01,2016 katika kituo cha
mikutano cha kimataifa PCC Nchini Papua New Guinea. Makamu wa Rais
amemuwakilisha Rais Dkt. John Magufuli kwenye Mkutano huo. Katikati
Naibu waziri Mkuu na Waziri wa Mambo ya Nje wa Namibia Mhe. Natumbo
Nandi Ndaitwah.
Rais
Mstaafu wa Nigeria General Olibegan Obasanjo akimpongeza Makamu wa Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan baada ya
kuhutubia Mkutano wa kuwezesha Wanawake Kiuchumi kwenye mkutano wa nane
kwa Wakuu wa Nchi za Afrika, Caribean na pacific ACP uliofanyika leo
Juni 01,2016 katika kituo cha mikutano cha kimataifa PCC Nchini Papua
New Guinea. Makamu wa Rais amemuwakilisha Rais Dkt. John Magufuli kwenye
mkutano huo.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan na
Mzungumzaji Mkuu wa Mkutano wa kuwezesha Wanawake Kiuchumi katika
mkutano wa nane kwa Wakuu wa Nchi za Afrika, Caribean na pacific ACP
Mhe. Samia Suluhu Hassan, akihutubia kwenye mkutano huo uliofanyika leo
Juni 01,2016 katika kituo cha mikutano cha kimataifa PCC Nchini Papua
New Guinea. Makamu wa Rais amemuwakilisha Rais Dkt. John Magufuli kwenye
mkutano huo.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni