Pichani
ni Mwalimu Hosea Daniel kutoka Kituo cha Masomo ya Ziada (Tuition)
kiitwacho Foluma Tuition Centre kilichopo Tarime Mkoani Mara akiwa
darasani.
Na:Binagi Media Group
Mwl.Daniel
anasema kuwa Masomo ya ziada ni mhimu kwa mwanafunzi kwa kuwa husaidia
katika kukuza uelewa na ufahamu kwa mwanafunzi na hivyo kuongeza ufaulu
kwa mwanafunzi.
Pichani
ni Mwalimu Hosea Daniel kutoka Kituo cha Masomo ya Ziada (Tuition)
kiitwacho Foluma Tuition Centre kilichopo Tarime Mkoani Mara akiwa
darasani.
Kushoto
ni Madam Elizabeth Daniel akiwa pamoja na Mwalimu Hosea Daniel. Wote ni
kutoka Kituo cha Masomo ya Ziada (Tuition) kiitwacho Foluma Tuition
Centre kilichopo Tarime Mkoani Mara akiwa darasani.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni