Mkurugenzi
Msaidizi wa Idara ya Maendeleo ya Michezo Bw. Leonard Thadeo (kushoto)
akimkabidhi mmoja wa wanariadha Bendera ya Taifa tayari kwa safari
yakuelekea nchini Congo Brazaville kwenye mashindano ya Afrika (All
African Games), Timu hiyo iliondoka jana jioni na ndege ya Shirika la
Ndege la Tanzania. (Pichana Benjamin Sawe- WHVUM)
Afisa
Michezo Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bw. Gordon
Nsajigwa akimpatia mmoja wa wachezaji wa Timu ya Taifa ya mpira wa miguu
ya wanawake tiketi jana jioni tayari kwa safari yakuelekea Congo
Brazaville kwenye mashindano ya Afrika (All African Games), kushoto
aliyevaa sutini Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Michezo Bw. Leonard
Thadeo.
Wachezaji
wa Timu ya Taifa wakipanda ndege ya Shirikia la Ndege la Tanzania (Air
Tanzania) jana jioni tayari kwa kuanza safari ya kuelekea nchini Congo
Brazaville kwaajili ya Mashindano ya Afrika (All African Games).
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni