Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akizungumza na Balozi wa Qatar Nchini Tanzania Mhe. Abdulla
Jassim Al Maadadi wakati Balozi huyo alipomtembelea Makamu wa Rais
Ofisini kwake Ikulu Dar es salaam Agosti 31, 2015 kwa ajili ya
kujitambulisha.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Qatar Nchini Tanzania
Mhe. Abdulla Jassim Al Maadadi wakati Mabalozi huyo alipomtembelea
Makamu wa Rais Ofisini kwake Ikulu Dar es salaam Agosti 31, 2015.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akisalimiana na kumkaribisha Balozi wa Burundi Nchini Tanzania
Mhe. Issa Ntambuka wakati Balozi huyo alipofika Ofisini kwa Makamu wa
Rais Ikulu Dar es salaam Agosti 31,2015 kwa ajili ya kuaga baada
ya kumaliza muda wake wa kazi hapa Nchini.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akizungumza na Balozi wa Burundi Nchini Tanzania Mhe. Issa
Ntambuka wakati Balozi huyo alipomtembelea Makamu wa Rais Ofisini kwake
Ikulu Dar es salaam Agosti 31, 2015, kwa ajili ya kuaga baada ya
kumaliza muda wake wa kazi hapa nchini.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Burundi Nchini Tanzania
Mhe. Issa Ntambuka wakati Mabalozi huyo alipomtembelea Makamu wa Rais
Ofisini kwake Ikulu Dar es salaam Agosti 31, 2015, kwa ajili ya
kuaga baada ya kumaliza muda wake wa kazi hapa Nchini. (Picha na OMR)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni