Waziri
Mkuu Kassim Majaliwa akiwasalimia wananchi katika Uwanja wa Nsololo
jimbo la Igalula Wilaya ya Uyui mara baada yakuwasili leo August
12.2017 na kufanya mkutano wa hadhara katika Wilaya ya Uyui Mkoa wa
Tabora
Waziri
Mkuu Kassim Majaliwa na Mkewe Mama Majaliwa wakiwasalimia wananchi
katika Uwanja wa Nsololo jimbo la Igalula Wilaya ya Uyui mara baada
yakuwasili leo August 12.2017 na Waziri Mkuu kufanya mkutano wa hadhara
katika Wilaya ya Uyui Mkoa wa Tabora
Waziri
Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na Mjumbe wa Halimashauri Kuu ya CCM
Taifa na Mkuu wa Wilaya Mstaafu Bwana Jackson Masome .walipo kutana
katika mkutano wa hadhara leo August 12.2017 katika Wiaya ya Uyui
Tabora. Waziri yupo Mkoa wa Tabora kwa ziara ya Kikazi
PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU
PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni