RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia na kulifungua Kongamano la Warsha ya Uelewa Juu ya Mamlaka Itakayosimamia Viwanda Vidogo vidogona Vya Kati (SMIDA) hafla hiyo imewashirikisha Wajasiriamali mbalimbali wa Zanzibar iliofanyika katika ukumbi wa zamani wa baraza la Wawakilishi kikwajuni Zanzibar.(Pcha na Ikulu)
KATIBU Mkuu Wizara ya Viwanda na Masoko Zanzibar Juma Ali Juma akizungumza kitaalamu juu ya Uelewa Juu ya Mamlaka ya Itakayosimamia Viwanda Vidogo vidogo Zanzibar iliofanyika katika ukumbi wa zamani wa baraza kikwajuni Zanzibar.
Mkurugenzi Mkuu wa SIDO Tanzania Profesa Sylvester M Mpanduji, akitowa maelezo juu ya umuhimu wa uaznzishaji wa Viwanda Vidogo vidogo kwa wajasiriamali wakatikwa warsha hiyo ilioandaliwa na Wizara ya Biashara Viwanda na Masoko Zanzibar iliofanyika katika ukumbi wa zamani wa baraza la wawakilishi Kikwajuni.WAZIRI wa Biashara Viwanda na Masoko Zanzibar Mhe. Balozi Amina Salum Ali, akitowa maelezo ya hafla hiyo kabla ya kumkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein kulifungua Kongamano hilo.
BAADHI ya wageni waalikwa wakifuatilia hafla hiyo wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akifungua Kongamano la Warsha la Kutoa Uelewa Juu ya Mamlaka Itakayosimamia Viwanda Vidogo vidogo na vya Kati (SMIDA) lililoandaliwa na Wizara ya Biashara Viwanda na Masoko Zanzibar.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi na Spika wa Baraza la Wawakilishi Mhe. Zuberi Ali Maulid na Waziri wa Biashara Viwanda na Masoko Mhe. Balozi Amina Salum Ali Katibu Mkuu Kiongozi Dk. Abdulhamid Yahya Mzee na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe Ayoub Mohammed Mahmoud wakiwa katika picha ya pamoja na Watoa Mada wa Warsha Hiyo baada ya kufunguliwa.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi,Spika wa Baraza la Wawakilishi Mhe. Zuberi Ali Maulid, Katibu Mkuu Kiongozi Dk. Abdulhamid Yahya Mzee, na kulia Waziri wa Biashara Viwanda na Masoko Mhe. Balozi Amina Salum Ali, Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk. Abdallah Juma Mabodi na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Ayoub Mohammed Mahmoud wakiwa katika picha ya pamoja na Wajasiriamali wenye viwanda Zanzibar .
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni