Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa na mkewe wakiwa wamebeba shada la maua tayari
kuliweka katika kaburi la mke wa Waziri wa Habari, Utamaduni, sanaa na
Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe, marehemu Linah George Mwakyembe,
katika mazishi yaliyofanyika makaburi ya familia katika kijiji cha Ikolo
wilayani Kyela mkoani Mbeya hii leo
Mkuu wa mkoa wa Mbeya, Mhe. Amos Makalla akiweka shada la maua katika kaburi la mke wa Waziri wa Habari, Utamaduni, sanaa na
Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe, marehemu Linah George Mwakyembe, katika
mazishi yaliyofanyika makaburi ya familia katika kijiji cha Ikolo
wilayani Kyela mkoani Mbeya hii leo
Waziri
wa Habari, Utamaduni, sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe akiweka
shada la maua katika kaburi la marehemu mkewe, Linah George Mwakyembe.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa na mkewe wakiweka shada la maua katika kaburi la mke wa Waziri wa Habari, Utamaduni, sanaa na
Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe, marehemu Linah George Mwakyembe,
katika mazishi yaliyofanyika makaburi ya familia katika kijiji cha Ikolo
wilayani Kyela mkoani Mbeya hii leo
Jeneza lenye mwili wa mke wa Waziri wa Habari, Utamaduni, sanaa na
Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe, marehemu Linah George Mwakyembe likiandaliwa kushushwa kaburini
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa ( kulia ), Mkuu wa mkoa Mbeya, Mhe. Amos Makalla na mke wa Waziri Mkuu wakifuatilia shughuli za mazishi ya mke wa Waziri wa Habari, Utamaduni, sanaa na
Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe, marehemu Linah George Mwakyembe, katika kijiji cha Ikolo
wilayani Kyela mkoani Mbeya hii leo. Picha zote na Haroub Kabwe
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni