Wachimbaji wadogo waiomba Serikali kutoa elimu ya uchimbaji bora

Mchimbaji mdogo wa Madini ya Almas ambaye pia ni Mshauri Mwelekezi wa SANA Gems Gregory Kibusi, akiangalia ubora wa Madini ya Alams.

Na Asteria Muhozya, Arusha

Wachimbaji wadogo wa Madini walioshiriki Maonesho ya 6 ya Kimataifa ya Madini ya Vito, Arusha wameiomba Serikali kuendelea kutoa elimu ya uchimbaji bora na uhifadhi wa mazingira kwa wachimbaji nchini.

Ombi hilo lilitolewa na Mshauri Mwelekezi wa Kampuni ya SANA Gems, ambaye pia ni mchimbaji mdogo wa madini ya Almas, Gregory Kibusi. Kampuni ya SANA Gems inayofanya shughuli zake za uchimbaji mkoani Shinyanga ndiyo kampuni pekee ya wachimbaji wadogo iliyokuwa ikionesha madini ya Almas katika Maonesho hayo.

Kibusi aliongeza kuwa, ushiriki wa wachimbaji katika maonesho hayo ni fursa kwao ya kukutana na wanunuzi na kujenga mtandao wa kibiashara hivyo kuiomba serikali kuendelea kuwahamisha wachimbaji wadogo nchini kushiriki katika maonesho hayo kwa kuwa, yanawezesha uhakika wa masoko ya madini yao.

"Nikiwa pia kama Katibu Mkuu wa wachimbaji wadogo Shinyanga, natoa wito kwa wachimbaji nchini kutumia vyama vyao washiriki maonesho haya ya Arusha kwa kuleta madini yao. Soko la uhakika lipo," alisema Kibusi. Aidha, Kibusi alitumia fursa hiyo kuwataka wachimbaji nchini kuachana na matumizi ya zebaki na kuwataka kutumia njia bora zinazoelekezwa na Serikali.

Kwa upande wake, Mkurugenzi wa Kampuni hiyo Ravi Hasmukh, alisema kuwa, kampuni hiyo imeshiriki Maonesho hayo ili kuweza kujenga mtandao wa kibiashara ikiwemo pia kutoa fursa kwa Watanzania kujifunza namna Madini ya Almas yanavyochimbwa na mahali yanapopatikana. Aidha, ameitaka Serikali ifikishe umeme katika eneo hilo na maeneo mengine mbapo shughuli za uchimbaji mdogo zipofanyika ili kuwezesha kuharakisha maendeleo ikiwemo kuwezesha shughuli za kiuchumi na kupanua wigo wa ajira.

Akizungumzia namna kampuni hiyo inavyosaidia eneo linalozunguka mgodi wake alisema kuwa, kampuni hiyo imetengeneza kisima cha maji kwa ajili ya kijiji cha Hukiro pamoja na kuboresha baadhi ya miundombinu katika zahanati iliyo jirani na mgodi wa kampuni hiyo Maonesho ya 6 ya Kimataifa ya Vito Arusha yalifunguliwa rasmi tarehe 3 Mei na Mkuu wa Mkoa wa Manyara Dkt. Joel Bendera na kufungwa na Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo.
Mshauri Mwelekezi wa SANA Gems Gregory Kibusi, (kulia), akionesha madini ya Almas . Katikati ni Mkurugenzi wa Kampuni hiyo Ravi Hasmukh. Kulia ni Mkurugenzi Mwenza Kishan Bhatti.
Madini ya Almas ambayo bado hayajasanifiwa.
Mkurugenzi wa Uthamini wa Madini ya Almas (TANSORT) kutoka Wizara ya Nishati na Madini Archard Kalugendo (kulia) akimwonesha Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mrisho Gambo (kushoto) namna ya kupima ubora wa Madini ya Tanzanite.
Mjiolojia kutoka Kituo cha Jemolojia Tanzania (TGC) Jumanne Shimba, akiangalia madini kwa kutumia kifaa maalum cha kinachotumiwa na kituo hicho katika mafunzo.
Mnunuzi wa Madini ya Tanzanite (kushoto) akiangalia ubora wa Madini ya Tanzanite katika Banda la Kampuni ya TanzaniteOne. Kulia ni Mwakilishi wa Kampuni ya TanzaniteOne.
Watumishi kutoka Kituo Cha Jemolojia Tanzania (TGC), wakimsikiliza mgeni aliyembelea banda la kituo hicho ili kujua shughuli za mafunzo ya usanifu na unga'rishaji wa madini zinavyofanyika. Mikufu inayoonekana katika picha pamoja na mapambo mengine imetengenezwa kituo hapo. Kituo hicho kiko chini ya Wizara ya Nishati na Madini.
Ujenzi wa kisima cha maji kilichojengwa na Kampuni ya SANA Gems Ltd ikiwa ni sehemu ya kuwezesha jamii inayozunguka mgodi wa kampuni hiyo kunufaika na uwepo wa mgodi husika.

KIKAO CHA ISHIRINI MKUTANO WA SABA BUNGE LA 11 MJINI DODOMA LEO MAY 9, 2017

 Mwenyekiti wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Najma Giga akiongoza  kikao cha Ishirini cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 9, 2017.
 Waziri wa Mambo ya Ndani Mhe.Mwigulu Nchemba akijibu hoja Mbalimbali za Wabunge  katika  kikao cha Ishirini cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 9, 2017.
 Mbunge wa Segerea Mhe.Bonnah Kaluwa  akiuliza swali katika  kikao cha Ishirini cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 9, 2017.
Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais –TAMISEMI Mhe.Selemani  Jafo akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika  kikao cha Ishirini cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 9, 2017.
 Waziri Mkuu Mhe.Kassim Majaliwa akizungumza jambo na Waziri wa mabo ya Ndani Mhe.Mwigulu Nchemba katika  kikao cha Ishirini cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 9, 2017.
 Waziri Mkuu Mhe.Kassim Majaliwa akizungumza jambo Mbunge wa Arusha Mjini Mhe.Godbless Lema katika  kikao cha Ishirini cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 9, 2017.
  Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe.Jumanne Maghembe akizungumza na Mbunge wa Arumeru Mashariki Mhe.Joshua Nassari katika  kikao cha Ishirini cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 9, 2017.
 Mbunge wa Mwibara (CCM) Mhe.Kangi Lugora akiuliza swali katika  kikao cha Ishirini cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 9, 2017.
Mbunge wa Madaba Mhe.Joseph Mhagama akiuliza swali katika  kikao cha Ishirini cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 9, 2017
 Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhe.Isack Kamwelwe akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika  kikao cha Ishirini cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 9, 2017.
 Mbunge wa Viti Maalum Mhe. Maria Kangoye akiuliza swali katika  kikao cha Ishirini cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 9, 2017.
 Waziri wa Kilimo,Mifugo na Uvuvi Mhe.Dk Charles Tizeba akijibu maswali mbalimbali ya wabunge kikao cha Ishirini cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 9, 2017.
 Naibu Waziri wa Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano Mhe.Edwin Ngonyani akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika  kikao cha Ishirini cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 9, 2017. 

Picha Zote na Daudi Manongi- Dodoma MAELEZO, DODOMA

RAIS DKT MAGUFULI ATOA MSAADA WA MAGARI YA WAGONJWA KWA WABUNGE WA NKASI, TABORA NA SHINYANGA

Magari matatu ya kubebea wagonjwa ambayo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli yakiwasili tayari kwa kukabidhiwa kwa wabunge wa Nkasi, Tabora na Shinyanga Ikulu jijini Dar es salaam leo Mei 9, 2016
Magari matatu ya kubebea wagonjwa ambayo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli yakiwasili tayari kwa kukabidhiwa kwa wabunge wa Nkasi, Tabora na Shinyanga Ikulu jijini Dar es salaam leo Mei 9, 2016
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi akiwa na  Mbunge wa Nkasi Kaskazini Mhe. Ali Mohamed Kessy,  Mbunge wa Viti Maalumu mkoa wa Shinyanga Mhe. Lucy Mayenga, Mbunge wa Viti Maalum mkoa wa Tabora Mhe Munde Tambwe akiwaonesha magari ya kubebea wagongwa wanayopewa kama msaaada toka kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli Ikulu jijini Dar es salaam leo Mei 9, 2016
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi akiwa na  Mbunge wa Nkasi Kaskazini Mhe. Ali Mohamed Kessy,  Mbunge wa Viti Maalumu mkoa wa Shinyanga Mhe. Lucy Mayenga, Mbunge wa Viti Maalum mkoa wa Tabora Mhe Munde Tambwe akiwaonesha magari ya kubebea wagongwa wanayopewa kama msaaada toka kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli Ikulu jijini Dar es salaam leo Mei 9, 2016
Mbunge wa Viti Maalumu mkoa wa Shinyanga Mhe. Lucy Mayenga akikabidhiwa ufunguo wa gari la kubebea wagongwa  na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi ikiwa msaaada toka kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli Ikulu jijini Dar es salaam leo Mei 9, 2016
Mbunge wa Viti Maalumu mkoa wa Shinyanga Mhe. Lucy Mayenga akionesha ufunguo wa gari la kubebea wagongwa  na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi ikiwa msaaada toka kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli Ikulu jijini Dar es salaam leo Mei 9, 2016
Mbunge wa Viti Maalumu mkoa wa Tabora Mhe. Munde Tambwe akikabidhiwa ufunguo wa gari la kubebea wagongwa  na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi ikiwa msaaada toka kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli Ikulu jijini Dar es salaam leo Mei 9, 2016
Mbunge wa Nkasi Kaskazini Mhe. Ali Mohamed Kessy,  Mbunge wa Viti Maalumu mkoa wa Shinyanga Mhe. Lucy Mayenga, Mbunge wa Viti Maalum mkoa wa Tabora Mhe Munde Tambwe wakiwa na magari ya kubebea wagongwa waliyopewa  kama msaaada toka kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli Ikulu jijini Dar es salaam leo Mei 9, 2016

Mbunge wa Nkasi Mhe Ali Mohamed Kessy akiwa na gari la kubebea wagonjwa  alilokabidhiwa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi ikiwa msaaada toka kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli Ikulu jijini Dar es salaam leo Mei 9, 2016

Mbunge wa Nkasi Mhe Ali Mohamed Kessy akisalimiana na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi walipofika kupokea msaaada wa magari ya kubebea wagonjwa toka kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli Ikulu jijini Dar es salaam leo Mei 9, 2016
Mbunge wa wa Viti Maalumu Mhe Munde Tambwe akisalimiana na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi walipofika kupokea msaaada wa magari ya kubebea wagonjwa toka kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli Ikulu jijini Dar es salaam leo Mei 9, 2016
Mbunge wa wa Viti Maalumu Mhe Lucy Mayenga  akisalimiana na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi walipofika kupokea msaaada wa magari ya kubebea wagonjwa toka kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli Ikulu jijini Dar es salaam leo Mei 9, 2016
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi akiwakaribisha  Mbunge wa Nkasi Kaskazini Mhe. Ali Mohamed Kessy,  Mbunge wa Viti Maalumu mkoa wa Shinyanga Mhe. Lucy Mayenga, Mbunge wa Viti Maalum mkoa wa Tabora Mhe Munde Tambwe akiwaonesha magari ya kubebea wagongwa wanayopewa kama msaaada toka kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli Ikulu jijini Dar es salaam leo Mei 9, 2016
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi akiwa na  Mbunge wa Nkasi Kaskazini Mhe. Ali Mohamed Kessy,  Mbunge wa Viti Maalumu mkoa wa Shinyanga Mhe. Lucy Mayenga, Mbunge wa Viti Maalum mkoa wa Tabora Mhe Munde Tambwe akiwaonesha magari ya kubebea wagongwa wanayopewa kama msaaada toka kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli Ikulu jijini Dar es salaam leo Mei 9, 2016.
Picha na IKULU

RAIS DK.SHEIN ATEMBELEA BANDARI YA DORALEH CONTAINER TERMINAL NCHINI DJBOUT

unnamed
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akisalimiana na Mkurugenzi Ukaguzi Nd.Mohamoud Houssein (wa pili kushoto) wakati alipotembelea katika Bandari ya Doraleh Container Terminal jana,ambayo ni maalum kwa upokeaji wa Makontena kutoka kwenye meli mbali mbali zinazowasili katuika Bandari hiyo,akiwa katika ziara ya kiserikali chini Djibouti na ujumbe aliofuanata nao,[Picha na Ikulu.] 08/05/2017.
A
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akisalimiana na Viongozi mbali mbali alipowasili katika Bandari ya Doraleh Container Terminal jana ambayo ni maalum kwa upokeaji wa Makontena kutoka kwenye meli mbali mbali zinazowasili katika Bandari hiyo, alipotembelea akiwa katika ziara maalum ya kiserikali nchini Djibouti akiwa na ujumbe aliofuanata nao,[Picha na Ikulu.] 08/05/2017.
A 1
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akisalimiana na Viongozi mbali mbali alipowasili katika Bandari ya Doraleh Container Terminal jana ambayo ni maalum kwa upokeaji wa Makontena kutoka kwenye meli mbali mbali zinazowasili katika Bandari hiyo, alipotembelea akiwa katika ziara maalum ya kiserikali nchini Djibouti akiwa na ujumbe aliofuanata nao,[Picha na Ikulu.] 08/05/2017.
A 2
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (wa pili kushoto) akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Ukaguzi Nd.Mohamoud Houssein (katikati) mara baada ya mapokezi alipotembelea katika Bandari ya Doraleh Container Terminal jana ambayo ni maalum kwa upokeaji wa Makontena kutoka kwenye meli mbali mbali zinazowasili katika Bandari hiyo, alipotembelea akiwa katika ziara maalum ya kiserikali nchini Djibouti akiwa na ujumbe aliofuanata nao,[Picha na Ikulu.] 08/05/2017.
A 3
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (wa pili kushoto) pamoja na Viongozi wengine wakipata maelezo kutoka kwa Mtaalam wa Mashine karika Bandari ya Doraleh Container Terminal jana ambayo ni maalum kwa upokeaji wa Makontena kutoka kwenye meli mbali mbali zinazowasili katika Bandari hiyo, Dk.Shein yupo nchini Djibouti katika ziara maalum ya kiserikali akiwa na ujumbe aliofuanata nao,[Picha na Ikulu.] 08/05/2017.
A 4
Makontena yenye mizogo mbali mbali yakiwa katika eneo maalum lililotengwa na kuwekwa katika Bandari ya Doraleh Container Terminal nchini Djibouti ambapo Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein na ujumbe wake jana walitembelea eneo hilo akiwa katika ziara maalum ya kiserikali,[Picha na Ikulu.] 08/05/2017. A 5Mashine za kuchukulia Makontena katika meli zinazofunga gati katika Bandari ya Doraleh Container Terminal nchini Djibouti ambapo Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein na ujumbe wake jana walitembelea eneo hilo akiwa katika ziara maalum ya kiserikali,[Picha na Ikulu.] 08/05/2017.
A 6
Makontena yenye mizogo mbali mbali yakiwa katika eneo maalum lililotengwa na kuwekwa Mizigo mbali mbali katika Bandari ya Doraleh Container Terminal nchini Djibouti ambapo Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein na ujumbe wake jana walitembelea eneo hilo katika ziara maalum ya kiserikali,[Picha na Ikulu.] 08/05/2017.
A 7
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akisalimiana na Mkuu wa Bandari ya Djibouti Bw,Saad Omar Guelleh mara alipowasili katika Bandari ya Doraleh Multipurpose nchini Djibouti akiwa katika ziara maalum ya kiserikali alitembelea jana akiwa na ujumbe wake,(kushoto) Waziri wa Vifaa na Usafirishaji Mhe.Mohamed Abdoulkader Moussa, [Picha na Ikulu.] 08/05/2017.
A 8
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (wa pili kushoto) akitambulishwa na Mkuu wa Bandari ya Djibouti Bw,Saad Omar Guelleh (katikati) kwa viongozi wakati aliposalimiana nao jana wakati alipotembelea katika Bandari ya Doraleh Multipurpose nchini Djibouti akiwa katika ziara maalum ya kiserikali na ujumbe wake,(kushoto) Waziri wa Vifaa na Usafirishaji Mhe.Mohamed Abdoulkader Moussa, [Picha na Ikulu.] 08/05/2017.
A 9
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (wa pili kushoto) akitambulishwa na Mkuu wa Bandari ya Djibouti Bw,Saad Omar Guelleh (katikati) kwa viongozi wakati aliposalimiana nao jana wakati alipotembelea katika Bandari ya Doraleh Multipurpose nchini Djibouti akiwa katika ziara maalum ya kiserikali na ujumbe wake,(kushoto) Waziri wa Vifaa na Usafirishaji Mhe.Mohamed Abdoulkader Moussa, [Picha na Ikulu.] 08/05/2017.
A 10
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (wa pili kushoto) akitambulishwa na Mkuu wa Bandari ya Djibouti Bw,Saad Omar Guelleh (katikati) kwa viongozi wakati aliposalimiana nao jana wakati alipotembelea katika Bandari ya Doraleh Multipurpose nchini Djibouti akiwa katika ziara maalum ya kiserikali na ujumbe wake,(kushoto) Waziri wa Vifaa na Usafirishaji Mhe.Mohamed Abdoulkader Moussa, [Picha na Ikulu.] 08/05/2017.

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AONGOZA MAZISHI YA DIWANI MWENZAKE

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akitoa salamu za Pole Katika Msiba kwa aliyekuwa Diwani wa CCM Kata ya Mnacho ,Kijij cha Nandagala , Bw. Daniel Petro Mtawa aliyefariki tarehe May 7,2017 na kuzikwa kijijini kwake Nandagala Wilaya ya Ruangwa Mkoani Lindi May 8 ,2017. (PICHA NA OWM)
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiwa ameongozana na Viongozi wa Mkoa wa Lindi na Mtwara pamoja na wananchi kuelekea makaburini kwa ajili ya mazishi ya aliyekuwa Diwani wa CCM Kata ya Mnacho, Kijiji cha Nandagala , Bw. Daniel Petro Mtawa aliyefariki tarehe May 7,2017 na kuzikwa kijijini kwake Nandagala Wilaya ya Ruangwa Mkoani Lindi May 8,2017. Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Bi. Halima Dendego na wa pili kulia, ni Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Bw. Godfrey Zambi. Kushoto ni Kaimu Mkuu wa Wilaya ya Ruangwa , Bi. Rukia Mhango. (PICHA NA OWM)
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa na Mbunge wa Ruangwa, akiweka mchanga kwenye kaburi la aliyekuwa Diwani wa CCM Kata ya Mnacho ,Kijij cha Nandagala , Bw. Daniel Petro Mtawa ambaye amefariki tarehe May 7,2017 na kuzikwa kijijini kwake Nandagala Wilaya ya Ruangwa Mkoani Lindi May 8 ,2017. (PICHA NA OWM)