Waziri
Mkuu Kassim Majaliwa akitoa salamu za Pole Katika Msiba kwa
aliyekuwa Diwani wa CCM Kata ya Mnacho ,Kijij cha Nandagala , Bw.
Daniel Petro Mtawa aliyefariki tarehe May 7,2017 na kuzikwa kijijini
kwake Nandagala Wilaya ya Ruangwa Mkoani Lindi May 8 ,2017. (PICHA
NA OWM)
Waziri
Mkuu Kassim Majaliwa akiwa ameongozana na Viongozi wa Mkoa wa
Lindi na Mtwara pamoja na wananchi kuelekea makaburini kwa ajili ya
mazishi ya aliyekuwa Diwani wa CCM Kata ya Mnacho, Kijiji cha Nandagala
, Bw. Daniel Petro Mtawa aliyefariki tarehe May 7,2017 na kuzikwa
kijijini kwake Nandagala Wilaya ya Ruangwa Mkoani Lindi May 8,2017.
Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Bi. Halima Dendego na wa pili kulia,
ni Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Bw. Godfrey Zambi. Kushoto ni Kaimu
Mkuu wa Wilaya ya Ruangwa , Bi. Rukia Mhango. (PICHA NA OWM)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni