Mkuu
wa Wilaya ya Ilemela mkoani Mwanza, Dk Leonard Masale akizungumza
wakati wa uzinduzi wa michuano ya Copa Coca-cola kwenye uwanja wa CCM
Kirumba jijini Mwanza.
Meneja
Mkuu wa Masoko Nyanza Bottling Co. Ltd Mwanza, Deus Kadico akizungumza
wakati wa uzinduzi wa michuano ya Copa Cocacola kwenye uwanja wa CCM
Kirumba jiji ni Mwishoni mwa wiki.
Afisa
Msaidizi wa Masoko wa kampuni ya Coca Cola nchini, Pamela Lugenge
akizungumza wakati wa uzinduzi wa michuano ya Copa Cocacola kwenye
uwanja wa CCM Kirumba jijini mwishoni mwa wiki.
Mkuu
wa Wilaya ya Ilemela mkoani Mwanza, Dk Leonard Masale akikabidhi vifaa
vya michezo kwa baadhi ya wanafunzi wa Shule ya Sekondari Bugogwa baada
ya kuzindua michuano ya Copa Cocacola kwenye uwanja wa CCM Kirumba
jijini Mwanza mwishoni mwa wiki.Kushoto ni Mkurugenzi wa Nyanza
Bottling, Christopher Gachuma na wa pili kushoto ni Afisa Msaidizi wa
Masoko wa kampuni hiyo nchini, Pamela Lugenge.
Mkuu
wa Wilaya ya Ilemela mkoani Mwanza, Dk Leonard Masale akikagua timu ya
ya mpira wa miguu ya Nyamagana baada ya kuzindua michuano ya Copa
Cocacola kwenye uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza mwishoni mwa wiki.
Afisa
Msaidizi wa Masoko wa kampuni hiyo nchini, Pamela Lugenge
akibadilishana mawazo na Mkurugenzi wa Nyanza Bottling, Christopher
Gachuma wakati wa hafla hiyo
Mkuu
wa Wilaya ya Ilemela mkoani Mwanza, Dk Leonard Masale akipiga mpira
golini ishara ya uzinduzi wa michuano ya Copa Coca-cola iliyofanyika
kwenye uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza mwishoni mwa wiki.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni