May 9, 2017 Arusha ilipata pigo tena baada ya watu watano kufariki kwa kuangikiwa na mti katika kijiji cha Ngiresi kilichopo Kata ya Sokoni, Wilayani Arumeru kutokana na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha.
Miili hiyo imeagwa leo katika viwanja vya shule ya msingi Ngiresi.
Miili hiyo imeagwa leo katika viwanja vya shule ya msingi Ngiresi.
Viongozi mbalimbali wa Serikali na vyama vya siasa walihudhuria akiwepo Meya wa Jiji la Arusha, Mkuu wa wilaya ya Arumeru,Madiwani mbalimbali pamoja na Mwenyekiti wa Uvccm Mr.Olengai Sabaya
Bwana ametoa na bwana ametwaa jina la bwana libarikiwe
Nimekuwekea picha za matukio mbalimbali hapo chini unaweza kuzitazama
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni