Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(kulia) akisalimiana na Mkurugenzi Ukaguzi Nd.Mohamoud Houssein (wa
pili kushoto) wakati alipotembelea katika Bandari ya Doraleh
Container Terminal jana,ambayo ni maalum kwa upokeaji wa Makontena
kutoka kwenye meli mbali mbali zinazowasili katuika Bandari hiyo,akiwa
katika ziara ya kiserikali chini Djibouti na ujumbe aliofuanata
nao,[Picha na Ikulu.] 08/05/2017.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(kulia) akisalimiana na Viongozi mbali mbali alipowasili katika Bandari
ya Doraleh Container Terminal jana ambayo ni maalum kwa upokeaji wa
Makontena kutoka kwenye meli mbali mbali zinazowasili katika Bandari
hiyo, alipotembelea akiwa katika ziara maalum ya kiserikali nchini
Djibouti akiwa na ujumbe aliofuanata nao,[Picha na Ikulu.] 08/05/2017.

(wa pili kushoto) akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Ukaguzi
Nd.Mohamoud Houssein (katikati) mara baada ya mapokezi alipotembelea
katika Bandari ya Doraleh Container Terminal jana ambayo ni maalum
kwa upokeaji wa Makontena kutoka kwenye meli mbali mbali zinazowasili
katika Bandari hiyo, alipotembelea akiwa katika ziara maalum ya
kiserikali nchini Djibouti akiwa na ujumbe aliofuanata nao,[Picha na
Ikulu.] 08/05/2017.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(wa pili kushoto) pamoja na Viongozi wengine wakipata maelezo kutoka kwa
Mtaalam wa Mashine karika Bandari ya Doraleh Container Terminal
jana ambayo ni maalum kwa upokeaji wa Makontena kutoka kwenye meli
mbali mbali zinazowasili katika Bandari hiyo, Dk.Shein yupo nchini
Djibouti katika ziara maalum ya kiserikali akiwa na ujumbe
aliofuanata nao,[Picha na Ikulu.] 08/05/2017.
Makontena
yenye mizogo mbali mbali yakiwa katika eneo maalum lililotengwa na
kuwekwa katika Bandari ya Doraleh Container Terminal nchini Djibouti
ambapo Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali
Mohamed Shein na ujumbe wake jana walitembelea eneo hilo akiwa katika
ziara maalum ya kiserikali,[Picha na Ikulu.] 08/05/2017. Mashine
za kuchukulia Makontena katika meli zinazofunga gati katika Bandari
ya Doraleh Container Terminal nchini Djibouti ambapo Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein na
ujumbe wake jana walitembelea eneo hilo akiwa katika ziara maalum ya
kiserikali,[Picha na Ikulu.] 08/05/2017.
Makontena
yenye mizogo mbali mbali yakiwa katika eneo maalum lililotengwa na
kuwekwa Mizigo mbali mbali katika Bandari ya Doraleh Container
Terminal nchini Djibouti ambapo Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein na ujumbe wake jana
walitembelea eneo hilo katika ziara maalum ya kiserikali,[Picha na
Ikulu.] 08/05/2017.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(katikati) akisalimiana na Mkuu wa Bandari ya Djibouti Bw,Saad Omar
Guelleh mara alipowasili katika Bandari ya Doraleh Multipurpose
nchini Djibouti akiwa katika ziara maalum ya kiserikali alitembelea jana
akiwa na ujumbe wake,(kushoto) Waziri wa Vifaa na Usafirishaji
Mhe.Mohamed Abdoulkader Moussa, [Picha na Ikulu.] 08/05/2017.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(wa pili kushoto) akitambulishwa na Mkuu wa Bandari ya Djibouti Bw,Saad
Omar Guelleh (katikati) kwa viongozi wakati aliposalimiana nao jana
wakati alipotembelea katika Bandari ya Doraleh Multipurpose nchini
Djibouti akiwa katika ziara maalum ya kiserikali na ujumbe
wake,(kushoto) Waziri wa Vifaa na Usafirishaji Mhe.Mohamed Abdoulkader
Moussa, [Picha na Ikulu.] 08/05/2017.

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni