Picha: MVUA YAHARIBU MIUNDO MBINU YA BARABARA BUKOBA

Mvua zinazoendelea kunyesha Bukoba mkoani Kagera zimeleta athari mbalimbali kwa wananchi ikiwa ni pamoja na kuharibu miundombinu ya barabara


Eneo la Bulila Kemondo Bukoba Vijijini ,Barabara ikiwa imekatika kufuata Mvua kubwa zinazoendelea kunyesha na kuleta usumbufu kwa abiria kutoka eneo moja kwenda jingine.



Wananchi wanatakiwa kuchukua tahadhari katika kipindi hichi cha mvua zinazoendelea kunyesha.

Chanzo-Bukoba wadau blo

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni