Magari
matatu ya kubebea wagonjwa ambayo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt John Pombe Magufuli yakiwasili tayari kwa kukabidhiwa kwa
wabunge wa Nkasi, Tabora na Shinyanga Ikulu jijini Dar es salaam leo Mei
9, 2016

Katibu
Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi akiwa na Mbunge wa Nkasi Kaskazini
Mhe. Ali Mohamed Kessy, Mbunge wa Viti Maalumu mkoa wa Shinyanga Mhe.
Lucy Mayenga, Mbunge wa Viti Maalum mkoa wa Tabora Mhe Munde Tambwe
akiwaonesha magari ya kubebea wagongwa wanayopewa kama msaaada toka kwa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli Ikulu
jijini Dar es salaam leo Mei 9, 2016

Mbunge
wa Viti Maalumu mkoa wa Shinyanga Mhe. Lucy Mayenga akikabidhiwa
ufunguo wa gari la kubebea wagongwa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John
Kijazi ikiwa msaaada toka kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dkt John Pombe Magufuli Ikulu jijini Dar es salaam leo Mei 9, 2016
Mbunge
wa Viti Maalumu mkoa wa Shinyanga Mhe. Lucy Mayenga akionesha ufunguo
wa gari la kubebea wagongwa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi
ikiwa msaaada toka kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John
Pombe Magufuli Ikulu jijini Dar es salaam leo Mei 9, 2016
Mbunge
wa Viti Maalumu mkoa wa Tabora Mhe. Munde Tambwe akikabidhiwa ufunguo
wa gari la kubebea wagongwa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi
ikiwa msaaada toka kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John
Pombe Magufuli Ikulu jijini Dar es salaam leo Mei 9, 2016
Mbunge
wa Nkasi Mhe Ali Mohamed Kessy akiwa na gari la kubebea wagonjwa
alilokabidhiwa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi ikiwa msaaada
toka kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe
Magufuli Ikulu jijini Dar es salaam leo Mei 9, 2016
Mbunge wa wa Viti Maalumu Mhe Munde Tambwe akisalimiana na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi walipofika kupokea msaaada wa magari ya kubebea wagonjwa toka kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli Ikulu jijini Dar es salaam leo Mei 9, 2016
Mbunge wa wa Viti Maalumu Mhe Lucy Mayenga akisalimiana na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi walipofika kupokea msaaada wa magari ya kubebea wagonjwa toka kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli Ikulu jijini Dar es salaam leo Mei 9, 2016
Katibu
Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi akiwakaribisha Mbunge wa Nkasi
Kaskazini Mhe. Ali Mohamed Kessy, Mbunge wa Viti Maalumu mkoa wa
Shinyanga Mhe. Lucy Mayenga, Mbunge wa Viti Maalum mkoa wa Tabora Mhe
Munde Tambwe akiwaonesha magari ya kubebea wagongwa wanayopewa kama
msaaada toka kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe
Magufuli Ikulu jijini Dar es salaam leo Mei 9, 2016
Katibu
Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi akiwa na Mbunge wa Nkasi Kaskazini
Mhe. Ali Mohamed Kessy, Mbunge wa Viti Maalumu mkoa wa Shinyanga Mhe.
Lucy Mayenga, Mbunge wa Viti Maalum mkoa wa Tabora Mhe Munde Tambwe
akiwaonesha magari ya kubebea wagongwa wanayopewa kama msaaada toka kwa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli Ikulu
jijini Dar es salaam leo Mei 9, 2016.
Picha na IKULU
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni