Majengo ambayo thamani yake
haijajulikana yameharibika nchini Kenya kutokana na mvua kubwa
inayoendelea kunyesha kwenye kaunti kadhaa za nchi hiyo.
Pia kumekuwepo na hofu ya kutokea
maporomoko ya ardhi na tayari wakazi wa maeneo yenye maporomoko
wamehamishiwa mahala salama.
`
Wakazi wa maeneo ya milimani ya
Pokoti Kusini, wametakiwa kuwa waangalifu juu ya uwezekano wa kutokea
mafuriko na maporomoko.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni